Kwahiyo una maanisha watalipa faini na jela watakwenda?Sheria ipo wazi,miaka 30,hakuna fine,fine zimetoka wapi hapa?
Itakua michezo yako hii mkuuMtu mwili wake mwenyewe kaamua kuingiliwa/ kuingilia bila shuruti yeyote chumbani kwao kwanini serikali iingilie?
Nina mashaka na hii hukumu,maana kama ni kosa la kuingiliana kinyume na maumbile adhabu ni kifungo kisichopungua miaka 30. Ndio maana naona maelezo ya hakimu kama hana msimamo.Kwahiyo una maanisha watalipa faini na jela watakwenda?
Mbona hapo inaonyesha ama walipe faini au waende jela
Kwa nini usambazie watu ujinga wako?Mtu mwili wake mwenyewe kaamua kuingiliwa/ kuingilia bila shuruti yeyote chumbani kwao kwanini serikali iingilie?
Ndio ivyo waalijiridhisha. Alafu nimemuona kama Mchungaji Komando Mashimo. Nchii ina vituko sana hiiiKwahiyo ndugu hakimu na wazee wa baraza waliziangalia video na kujiridhisha?
Nauliza tu
Duh aiseTangazo kwa wana Chaputa.
kesho Sept 26 kutakuwa na kikao kizito cha kufanikisha michango kwaajili ya faini ya Amber Lutty.
wanachama wote wa Chaputa pamoja na wastaafu wote wa Chaputa kikao hiki kinawahusu fika bila kukosa.
Venue;Masai in zamani meridian.
Time: 7:00 pm.
Imetolewa na secretariate ya Chaputa makao makuu Buza kwa mpalange.
Serikali ina Dini.Mtu mwili wake mwenyewe kaamua kuingiliwa/ kuingilia bila shuruti yeyote chumbani kwao kwanini serikali iingilie?
Haina diniSerikali ina Dini.
Kusambaza hata mimi naona ndio kosa ila kufanya kama wameamua wenyewe sioni kosa lipo wapi.Kwa nini usambazie watu ujinga wako?
Aawapi[emoji23][emoji23] hamna sijawahi mkuuItakua michezo yako hii mkuu
Sasa wewe umeona wapi awepo,Nilishakwambia usilale kwenye kipindi changu. Kukusaidia tu, conclusion yako imemzungumzia mfirwaji pekee haijamuongelea mfiraji kabisa. Hapo ndipo nilipokulima hizo 6.
Na James Delicious nae? Acha kuanzisha mambo ya udini.Kumbe wote ni Waislam, yaani Amber rutty na huyo Mfiraji wake Said Bakari
Astakhafirullah.....!
Sawa haina dini, lakini serikali ni watu na watu wana dini.Kusambaza hata mimi naona ndio kosa ila kufanya kama wameamua wenyewe sioni kosa lipo wapi.
Hii commenta yako πππHana shida kuhusu hilo maana ndio furaha yake.
Hilo la kuliwa tigo wafunge na wengine basi si hao tu.