Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Hao wamekosea kwa kusambaza video ila kuhusu kutipuliwa tope hii tabia imetapakaa kila uchochoro wa nchi hii,tena mademu wengine wanaomba kabisa uwale nyuma ndo wanaridhika
Hata kama imetapakaa ila ni makosa tu
 
Maskini wee,,,,tunazidi kupoteza vijana kazi wa taifa hili hao ni sample tu ila wapo wapuuzi wengine uko mitaani wanaharibu wenzao tu ndo mana wanaume siku hizi wapo wachache sana na hao wanaosapoti huu ujinga umu jf nafkir hawana familia na kama wanazo basi nao tumewakosa tayar aisee
 
Mtu mwili wake mwenyewe kaamua kuingiliwa/ kuingilia bila shuruti yeyote chumbani kwao kwanini serikali iingilie?
Ulishaambiwa ukienda kujisaidia haja kubwa na kujamba mknd* ni mali yako ila ukiutumia kinyume na matumizi hayo ni mali ya jamhuri.
 
Aliyefanya na Amber Ruty nae amepata mvua. Ila wapenzi wa Delicious wanaendelea kuharibu watoto wa watu mtaani. Huyu Delicious hakupewa nafasi ya kutaja japo watatu tu tuwajue.
 
Aliyefanya na Amber Ruty nae amepata mvua. Ila wapenzi wa Delicious wanaendelea kuharibu watoto wa watu mtaani. Huyu Delicious hakupewa nafasi ya kutaja japo watatu tu tuwajue.
hata angewataja ushahidi ungekosekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…