Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Mamlaka zinastahili pongezi kwa kuonesha kusimamia maadaili. Sasa ni muda muafaka kwa wanaoimba matusi na kutuharibia kizazi , kushughulikiwa
 
Sie tunatazama.. makocha wachezaji 😃😃😃😃
 
hata angewataja ushahidi ungekosekana
Ushahidi wa Delicious kwamba alikua anagongwa ulitolewa mahakamani. Je alikua anashughulikiwa na Nani? Mbona huyu mzinzi ameachwa mtaani? Sema tu dogo Hana wa kumtetea japo kawaburudisha watu wenye uwezo kibao
 
Mmh wewe mbona watu mnasistiza hivi hii dunia tunakoelekea sijui!
Ndy Hali halisi we unafikiri kwann sahv kila Dem akipiga picha anaonesha kalio kwa nyuma
Unafikiri wanahamasisha nini?

Ova
 
Ushahidi wa Delicious kwamba alikua anagongwa ulitolewa mahakamani. Je alikua anashughulikiwa na Nani? Mbona huyu mzinzi ameachwa mtaani? Sema tu dogo Hana wa kumtetea japo kawaburudisha watu wenye uwezo kibao
Tena angetaja list wanao ruka naye ingekuwa balaaa

Ova
 
Mil.3 inipeleke jela wakati nauza tgo na nina madanga kibao

nitakua sikua serious na kazi yangu aseee,James kweli madanga yote hayo?

Amber mil.3 kweli amekosa? sasa huo ufuska si muwe mnaacha tu kama mnaenda

jela kwa vi faIni mbuzi hivyo,wakati insta mnasemaga mnapaka lotion zinaitwa kwini nani sijui Bei 300k KIKOPO

Leo mnaenda lalia machawa sehemu ambazo mtaliwa tigo bureeeeee kwa ujira wa Ugali tu,ovyooooo.
 
Ushahidi wa Delicious kwamba alikua anagongwa ulitolewa mahakamani. Je alikua anashughulikiwa na Nani? Mbona huyu mzinzi ameachwa mtaani? Sema tu dogo Hana wa kumtetea japo kawaburudisha watu wenye uwezo kibao
James Delicious licha ya ushahidi, alikuwa anauza mku.ndu kwa njia ya mtandaoni, alikuwa amejaa mitandaoni, Telegram na kwingineko alikuwa akijiuza wazi wazi, nimepitia mitandaoni kwa muda mrefu, je unajua labda walimwekea mtego gani latika kutafuta ushahidi? Huwezi jua labda kuna mtu alijifanya mteja huko mtandaoni na kuahidi kukutana nae sehemu ili wafanye yao. Mara ya mwisho alipokuwa akisakwa alikimbia Dar na kuelekea Mwanza na bado alikuwa anauza kwa njia ya mtandao.
 
Ushahidi wa Delicious kwamba alikua anagongwa ulitolewa mahakamani. Je alikua anashughulikiwa na Nani? Mbona huyu mzinzi ameachwa mtaani? Sema tu dogo Hana wa kumtetea japo kawaburudisha watu wenye uwezo kibao
Hapo ndio ungekuta anataja na watu wenye nyadhifa serikarin na watu wakubwa nchini
 
Uzi unakimbia sana yani JF mada zinazohusu tigo zinapendwa sanaa ila chaajabu hapa kila mtu anajifanya kufurahia serikali kuwapiga faini hao wakati humu ndo wala/waliwa tiGO wakubwaa
Hapa uwez wao nakisema kitu
 
Sasa wewe umeona wapi awepo,
mwalim bila mwanafunzi
polisi bila kibaka
mnunuzi bila muuzaji
mfirwaji bila mfiraji.....Poa tu, kwani kitu gani...[emoji377][emoji377][emoji377]
Sisahishi kwa assumption, andika.
 
Katika kulipa fine ya mahakama Kuna kujiandaa
Mzee, ndomana wamepewa muda waende gerezani au wakamilishe fine hiyo

Ova
 
Kuna jamaa yangu yupo huko gerezani segerea , kanisisitiza nikienda kumtembelea nisikose kumpelekee mafuta ya Vaseline...ila kamzungumzia sana James delicious.
Sijuwi anamaanisha nn...
View attachment 1582335
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…