"Amber Ruty" anaweza kuigiza filamu za ngono

Pazi na Jogoo

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2016
Posts
331
Reaction score
494
Ni mchezo mchafu ambao sasa umeanza kuoneshwa wazi baada ya kuwa unazungumzwa na baadhi ya mastaa wa muziki wa bongo flavour na hata baadhi ya waigizaji wa filamu za hapa kwetu Tz,,,,,ipo mifano mingi sana kutoka kwa wasanii hao wa filamu na muziki ambao kwa vipindi tofauti wamekuwa wanajinasibu kuwa wanajua mapenzi (mahaba) na kuwa wanaweza kulala na mwanaume yoyete mwenye fedha kuanzia Mil 1 nakuendelea.

Kwa maana nyingine tunaweza kusema baadhi ya wasanii hao wamekuw wakitangaza soko la kuuza miili yao kwa kutumia kigezo cha Ku trends (Kiki) kwenye mitandao.

Mwanzo zilikuwa ni hisia kwamba mchezo wa kufanya kinyume na maumbile ipo ingawa hakukuwa na ushahidi wa kutosha.

Kulingana na video clip iliyorekodiwa na watu wasiojulikana wakati Umber Rutty akifanya mapenzi kinyume na maumbile imetosha kuamini kuwa wapo wasanii wengi ambao wanafanya mchezo huo mchafu chini chini.

Kwa maana hiyo baadhi ya wadau wameshauri BASATA kuchukua hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kuwafungia kufanya kazi wasanii wakike wataobainika kuwa na mwenendo wa maisha unaotia shaka kutokana na mtindo wake wa maisha wa kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…