Amber ruty na mpenzi wake wapata dhamana

princewilly

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
259
Reaction score
528
#BREAKING: Msanii Amber Rutty na mpenzi wake Said Mtopari, wameachiwa kwa dhamama katika Mahakama ya Kisutu leo. Amber Rutty amedhaminiwa na ndugu yake huku mpenzi wake akidhaminiwa na Mchungaji Daudi Mashimo wa Kanisa la Emmaus Bible Church, Mbezi Luis DSM.
 
Yani huyo amber sa hivi ndo anakumbuka kujifunika minguo mingii.ovyo kweli😟
 
“Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga jiwe”. Yohana 8:11 Mchungaji umeonyesha upendo wa Kimungu...ni wadada wangapi wanafanya haya mambo???je mtoto wako akinyea mkono wako utaukata??Amber anahitaji maombi na ushauri nasaha....
 
Huyo Mchungaji nimempenda bure, ameona fursa hapo, akamhubirie neno la Mungu, ampe sapoti huku akombadilisha mdogo mdogo
 
Jambo jema, ila muhimu wasi-skip bail, huyo msamaria mwema akajikuta matatizoni.
 
Na wewe jirekodi tu ujiliwa utupie mzee.. Jela haijai.
 
Huyo Mchungaji nimempenda bure, ameona fursa hapo, akamhubirie neno la Mungu, ampe sapoti huku akombadilisha mdogo mdogo
Na ni fursa kweli paka leo mimi nimeshamjua huyo mchungaji alafu amber ataokoka na kuwa mama mchungaji
 
Na kesi inaishia hapa...dogo kapata soko amber ruty atapata msoto
 
Na ni fursa kweli paka leo mimi nimeshamjua huyo mchungaji alafu amber ataokoka na kuwa mama mchungaji
la kuwa mama mchungaji siwezi kulisema sana lakini Yesu alisema "Aliyesamehewa sana hupenda sana"
huu ulikuwa ni mfano pale Mariamu ambaye Yesu alimponya pepo 7 alipompaka Yesu mafuta miguuni na kumfuta kwa nywele zake. (Mariamu katka biblia wako watatu kama sijakosea)
So huyu dada Amba kwa kitendo cha kuwekewa dhamana na mchungaji atajiona hakustahili kutokana na nature ya kosa lake...hivyo atamheshimu sana, na ikiwa ataamua kumpokea Yesu itakuwa heri kwake
 
Ina maana wanarud katka geto lao uyo amber na mwenzake!!!!??
Najaribu kuufikiria usiku wa leo tu, uku nikiwa namuangalia man city pale france
Lyon naamini watawaupigwa mwingi sana leo
 
Huyo Mchungaji nimempenda bure, ameona fursa hapo, akamhubirie neno la Mungu, ampe sapoti huku akombadilisha mdogo mdogo
Huyo mchungaji aliangalia nae season za amber rut
 
Lyon naamini watawaupigwa mwingi sana leo
Sana sana lakn guardiola anaenda kutafuta matokeo, utakuja kuniambia after 90 mins apa apa

Kipind hiko kunauwezekano mkubwa mtu anazibua mtaro, eenh c washaachia wapo nyumban wanajipongeza kwa umaarufu
 
Wakazibuane mtaro vizuri leo, siwashaachiwa[emoji23][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…