Mil 10 mahari, unabeba kabisa zigo unaweka ndani...Huyo sancho sh ngapi, teh teh
Bila punguzo!!!million 10🙁
Mkumbushe na ugali hajui kupikaMil 10 mahari, unabeba kabisa zigo unaweka ndani...
Ndo Biashara ilobakia yenye chati mjini iyo. Nyengine zote kizunguzungu.Wauza 0714 hao
Ova
Sitatizo ntatoa mie. La muhimu jicho tule tuMil 10 mahari, unabeba kabisa zigo unaweka ndani...
Usione wadada wanaendsha magari,wanakaa nyumba nzuri lkn shuguli wanayoitoa si mchezoNdo Biashara ilobakia yenye chati mjini iyo. Nyengine zote kizunguzungu.
Wanatumia uchumi waoUsione wadada wanaendsha magari,wanakaa nyumba nzuri lkn shuguli wanayoitoa si mchezo
Ova