Amberlulu vs Sanchoka, Basata waanze na nani?

Ivi sanchoka One night analamba kama ngapi siku nijilipueee
 
Basata wanausika na nini hapo? kwani hawa ni wasanii wa tansinia gani? 🙄
 
Amber lulu anaweza kuimba nadhani atakuwa anaandikiwa.
 
Huyo sachoka anafanya kazi gani au kutingisha makalio ni kazi?
 
Package yake inajumuisha vitu gani vya kufanya mahari yake iwe kubwa hivyo?
Lile wowowo unalionaje babu?!!!!
Ndo linakamilisha hiyo million 10 si unajua tena Nyumba Choo bafu mbwembwe....
 
We jamaa acha ukuda. Au kwa vile wewe huna matako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…