M Mtaka Haki JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 492 Reaction score 149 Oct 26, 2010 #1 Kwa kweli sitanii, namaanisha kuwa suala la kuwa na ambulance karibu na wagombea urais ni muhimu kwani matokeo yakitolewa ya kweli yatashtusha mno.
Kwa kweli sitanii, namaanisha kuwa suala la kuwa na ambulance karibu na wagombea urais ni muhimu kwani matokeo yakitolewa ya kweli yatashtusha mno.
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,332 Oct 26, 2010 #2 mimi sina wasiwasi na dk slaa ila yule mwenye ugonjwa wa kuangukaanguka bila sababu kwa kweli nina waswasi sana na afya yake maana kunaa hatihati ya mtu kupoteza maisha kabisaaaaaaa badala ya kuzimia
mimi sina wasiwasi na dk slaa ila yule mwenye ugonjwa wa kuangukaanguka bila sababu kwa kweli nina waswasi sana na afya yake maana kunaa hatihati ya mtu kupoteza maisha kabisaaaaaaa badala ya kuzimia
M Mwafrika JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,490 Reaction score 229 Oct 27, 2010 #3 wewe sasa unataka ugomvi na mafisadi wa ccm kina Zawadi Ngoda na wenzake