Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
mnyakyusa,he's 30 now nafikiri,mwanafunzi wa uhasibu T.I.A Mbeya Campus,Diploma.maskani kwa sasa Mbeya na Dar.hajaoa,pia ni mfanyabiashara wa samani.
kwa kifupi ni hayo tu
Heshima kwenu wakuu
Nabarikiwa sana na huyu mtumishi wa Mungu, nyimbo zake zimebeba ujumbe murua. Mwenye kujua historia yake japo kwa ufupi anaweza kunisaidia pengine maisha yake yanaweza kuwa ya ushuhuda kwangu.
Natanguliza shukrani
Misuli ya imani !! Mungu ambariki huyu ndugu.
Hakika kuna watu wamebarikiwa sana na karama zao za uimbaji #AmbweneMwasongwe