Ambwene Mwasongwe: Mwanamuziki bora kabisa wa Injili ambaye hatajwi sana

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
Nadhani nimechelewa sana kujua nyimbo za huyu fundi wa nyimbo za injili Ambwene Mwasongwe,jamaa anaimba vitu vinatouch kinyama

Nasikiliza hapa wimbo unaitwa CHOZI LA HAKI.

Huu wimbo ni touching sana
naombeni kwa aliyenazo zingine zote,au hata kama zipo za kulipia nitalipia nimchangie.
 
huyu jamaa nyimbo zake yani ukisikiliza unahisi unaguswa moyo, nguvu ya msamaha, kuokoka, upendo wa kweli, yatima, ndoa dahh huyu jamaa ni among the best gospel singers Tanzania kuwahi kuwa nao.
Mimi kwangu ni namba moja ua sina tabia ya kukaa na cd ila nina cd mbili ya huyu jamaa na ya mzee upako kuna nyimbo zake tatu nazipenda pia
 
Ambwene yuko vzr jamani. Mimi nimemshuhudia akiimba live mara mbili. Nilijua jamaa ana uwezo mkubwa si tu kuimba bali kuorganise ujumbe wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…