Ambwene Mwasongwe: Mwanamuziki bora kabisa wa Injili ambaye hatajwi sana

Watanzania wengi wanaamini zaidi wanacho kihisi na sio wanachofikria.....na akatokea mtu akawa aminisha anachofikiria hugeuka kuwa mpinzani wa hisia zao
kinacholeta utata ni pale mtu anapotaka kulazimisha habari isiyohusiana na mada husika,hasa kwenye uzi wa kuaifia uwezo wa uimbaji wa mtu kuna mdau anaingizia habari za tabia za mtu vitu ambavyo hata havina mahisiaono.

mada ingekuwa ni kusifia tabia za utakatifu za muhusika basi mtu anaweza kuleta hizo habari zake za tabia zingine mbaya.

lakini kama tunajadili uwezo wa kimuziki basi habari ya tabia zake haina uhusiano.

wangapi tunapenda nyimbo za wala unga na bangi wa marekani!?

elton john ni shoga lakini nyimbo zake ni hatari.

diamond platnumz ni balaa lakini tabia zake c za kuigwa.
 

Ingawa sijaelewa mantiki ya bandiko lako lakini nayaheshimu mawazo yako.....
 
Yani binafsi huwa sinunui CD za nyimbo lakini Abwene Mwasongwe ndiye kanifanya niwe nanunua Cd zake aisee Jamaa fundi sanaa wa nyimbo za injili..
 
Sure.. Jamaa anaimba saaaaana
 
Yes anajua Siku moja nimekutana na Solomon mkubwa kajichubua mwenyewee
 
Watu km hawa muwe mnawapeleka jukwaa la dini, huku wataishia kuchafuliwa tu
 
My play list nimeipa jina la "healer" 1.tulikotoka 2. Nguvu ya kujua 3. Ombi langu 4. Upendo wa kweli 5. Karibu yesu 6. Alikonitoa 7.Ndoa 8. Misuli ya imani.

Huwa nasikiliza inajirudia hadi napitiwa na usingizi.
 
My play list nimeipa jina la "healer" 1.tulikotoka 2. Nguvu ya kujua 3. Ombi langu 4. Upendo wa kweli 5. Karibu yesu 6. Alikonitoa 7.Ndoa 8. Misuli ya imani.

Huwa nasikiliza inajirudia hadi napitiwa na usingizi.
unasikiliza!??...umesahau ww ni binti kiziwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…