Amchoma mkewe kwa kupika wali badala ya githeri

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Peter Ngugi mwenye umri wa miaka 32 anashikiliwa na vyombo vya usalama kwa kumjeruhi mkewe kwa kumwagia moto

Mwanaume huyo alimuagiza mkewe apike 'Githeri' (Kande) lakini mkewe alipika wali na ndipo kwa hasira Mwanaume huyo alimrushia jiko lenye moto

Mpaka sasa Mwanamke aliyejeruhiwa anaendelea na matibabu katika hospotali binafsi ndani ya kaunti ya Kirinyaga

=======

According to the victim's aunt, the man, Peter Ngugi aged 32, had asked his wife to cook Githeri but she went ahead to cook rice.

Angered by the wife's action, the man grabbed a burning stove and threw it at his wife, leaving her with serious burns.

A 27-year-old woman is nursing injuries at a private hospital in Kirinyaga County after she was attacked by her husband following a disagreement involving food.

According to the victim’s aunt, the man, Peter Ngugi aged 32, had asked his wife to cook Githeri but she went ahead to cook rice.

Angered by the wife’s action, the man grabbed a burning stove and threw it at his wife, leaving her with serious burns.

The couple who live at Ngurubani village in Mwea has been married for two years and have two children.

The woman is admitted at Mwea Private Hospital, Nurubani and is reported to be in a stable condition.

Acting Mwea-East OCPD Lucas Chebet said the suspect is expected to be arrested and arraigned.
 
Yaan huku wali ni bwerereee mchele kilo 1700 tena safi kabisa kenya mnachomana moto kisa wali .... ngoja ufipa waje wawatetee
 
HAO NDIO WAKENYA NI MAJANGA TUU
 
Mpumbavu huyo atafungwa jela kisa ujinga, kama mke hakupika alichoagiza angeondoka aende kwa mchepuko na hapo tatizo lingekua limesuluhishwa.
Ni mwanaume wa mikoani, hawapendi wali na vyakula vyepesi kama wali kama ilivyo kawaida kwa wanaume laini laini wa Dar.
Halafu kabla hamjawaza vya Kenya, vipi hizi taarifa hapa chini

https://scontent.cdninstagram.com/v...720384_n.mp4?_nc_ht=scontent.cdninstagram.com
Kutoka Mtwara huko Newala Mwanaume akata uume wake na kidole cha shahada cha mkono wa kushoto kisa anataka kumtumikia Mungu...!!! kwa habari zaidi usikose #hekaheka ya leo ifikapo sita na nusu hadi saba kamili mchana #leotenacloudsfm :
Subcribe Youtube channel #Geahhabibu
 
Back
Top Bottom