heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Habari
Vijana na bangi mnaambiwa sio nzuri amsikii
Kijana mmoja mwenye jina la kihuni maarufu kama baba jojo[19] amchoma kijana mwenzie kisu na kupelekea umauti wa kijana huyo umri miaka[ 17]
Majira ya usiku wa kuamkia tarehe 27 ulizuka ugomvi maeneo ya backtown tiptop ambapo ulipelekea kijana kuchomwa kisu cha shingo na muuaji kutoweka pasipo kukamatwa
Inasemekana kijana huyo muuaji alikuwa na kauli za kutaka kuua mtu ambapo alikuwa anaizungumza siku kadhaa kama utani, anapopatikana popote ni kiumbe hatari
Vijana sijui upepo gani unawakumba picha ya muuaji hii hapa.