heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
mtu mzima kumchoma kisu mtoto mdogo, dah hili ni jipya....Habari
Vijana na bangi mnaambiwa sio nzuri amsikii
Kijana mmoja mwenye jina la kihuni maarufu kama baba jojo[19] amchoma kijana mwenzie kisu na kupelekea umauti wa kijana huyo umri miaka[ 17]
Majira ya usiku wa kuamkia tar27 ulizuka ugomvi maeneo ya backtown tiptop ambapo ulipelekea kijana kuchomwa kisu cha shingo na muuaji kutoweka pasipo kukamatwa
Inasemekana kijana huyo muuaji alikuwa na kauli za kutaka kuua mtu ambapo alikuwa anaizungumza siku kadhaa kama utani, anapopatikana popote ni kiumbe hatari
Vijana sijui upepo gani unawakumba picha ya muuaji hii hapa
Miaka 19 kwa Baba Jojo tumepigwa, ila atapatikana tu. Labda ajiue na yeye.Habari
Vijana na bangi mnaambiwa sio nzuri amsikii
Kijana mmoja mwenye jina la kihuni maarufu kama baba jojo[19] amchoma kijana mwenzie kisu na kupelekea umauti wa kijana huyo umri miaka[ 17]
Majira ya usiku wa kuamkia tar27 ulizuka ugomvi maeneo ya backtown tiptop ambapo ulipelekea kijana kuchomwa kisu cha shingo na muuaji kutoweka pasipo kukamatwa
Inasemekana kijana huyo muuaji alikuwa na kauli za kutaka kuua mtu ambapo alikuwa anaizungumza siku kadhaa kama utani, anapopatikana popote ni kiumbe hatari
Vijana sijui upepo gani unawakumba picha ya muuaji hii hapa
Una uhakika kwamba muuaji anasumbuliwa na tatizo la afya ya akili kutokana na matumizi ya bangi???Habari
Vijana na bangi mnaambiwa sio nzuri amsikii
Kijana mmoja mwenye jina la kihuni maarufu kama baba jojo[19] amchoma kijana mwenzie kisu na kupelekea umauti wa kijana huyo umri miaka[ 17]
Majira ya usiku wa kuamkia tar27 ulizuka ugomvi maeneo ya backtown tiptop ambapo ulipelekea kijana kuchomwa kisu cha shingo na muuaji kutoweka pasipo kukamatwa
Inasemekana kijana huyo muuaji alikuwa na kauli za kutaka kuua mtu ambapo alikuwa anaizungumza siku kadhaa kama utani, anapopatikana popote ni kiumbe hatari
Vijana sijui upepo gani unawakumba picha ya muuaji hii hapa
Jumlisha na bangi na pombeChangamoto ya afya ya akili.
YesWapi Dar au
Hii itakuwa chuga tu ndio wavuta bangeWapi Dar au
Ni kijana yupo timamu tu hana changamoto yoyote ya afya ya akili bali ni ule uhuni na makuziUna uhakika kwamba muuaji anasumbuliwa na tatizo la afya ya akili kutokana na matumizi ya bangi???
Not a fore-planned and targeted attack?
Mnapenda sana kuisingizia BangiHabari
Vijana na bangi mnaambiwa sio nzuri amsikii
Kijana mmoja mwenye jina la kihuni maarufu kama baba jojo[19] amchoma kijana mwenzie kisu na kupelekea umauti wa kijana huyo umri miaka[ 17]
Majira ya usiku wa kuamkia tarehe 27 ulizuka ugomvi maeneo ya backtown tiptop ambapo ulipelekea kijana kuchomwa kisu cha shingo na muuaji kutoweka pasipo kukamatwa
Inasemekana kijana huyo muuaji alikuwa na kauli za kutaka kuua mtu ambapo alikuwa anaizungumza siku kadhaa kama utani, anapopatikana popote ni kiumbe hatari
Vijana sijui upepo gani unawakumba picha ya muuaji hii hapa.
View attachment 3000618View attachment 3000619
Ni jambo la kukusudia maana alikuwa na kisasi nae so alimuwinda kama digidigi, inavyosemekana uyo dogo ni mwizi/kibaka aliiba ila marehemu akamchoma kwa mwenye maliUna uhakika kwamba muuaji anasumbuliwa na tatizo la afya ya akili kutokana na matumizi ya bangi???
Not a fore-planned and targeted attack?
Unataka kusema kwamba kabla ya ujio wa ukristo na uislamu watu waliuana sana? Vipi maelfu ya watu wanaouliwa na waislamu kwa mgongo wa kueneza dini?Kukosa Imani ya kidini pia inachangia kukosa huruma, hekima, kujali na kusamehe.
.
Nyie vijana wa Tip Top miaka yote mnarithishana uhuni tu na bangi, hiyo Tip Top ni ya wapi?mtu mzima kumchoma kisu mtoto mdogo, dah hili ni jipya....
Inawezekana ni vichocheo vya athari za bangi. kwasababu bangi huchochea hali hali isiyoyakawaida kwa mwanadamu mvuta bangi....
mfano kama mtu alikua mwema, bangi inamchochea kua muovu na muuaji kama ambavyo imetokea hapo tip top.....
R.I.P kijana mdogo 🐒
Vinasingiziwa sana ukisema Pombe nitakubari Ila Bangi HAIMTUMI mtu kuua, ingawa Mimi SIO mtumiaji wa vyote Ila naishi na watumiaji najua huyu mlevi wa Pombe anakuaje na mtumiaji wa MOSHI anakuaje, Pombe SIO nzuri kwa afya yako ya Mwili na AkiliJumlisha na bangi na pombe