Amdalasini mix with asali

Nami nimelisikia hilo cku mingi,lakini bado kujaribu....Pia nasikia ni tiba kamili kwa wale ambao bunduki zao risasi zinatoka ndani ya robo sekunde....ok hujachelewa kujua hili msubiri mheshimiwa Mzizi Mkavu atakuja sasa hivi kuweka uelewa wetu sawa,
Karibu Shanice
 
heee,mimi ndio kwanza nayasikia humu.nakumbuka mzizi mkavu alituambia ni diet nzuri hiyo,ukichanganya na maji ya moto.na nilikuwa natumia
 
Hata Tangawizi ukiipata changanya na asali.......................!
 
Amdalasini ukichanganya na asali inasaidia kuleta ashki?

Inasaidia kurudisha uke katika hali nzuri( uke unakuwa kama mpya yaani hujatumika sana "bikra") ila ni vizuri ukapata Amdalasini ule wa mitimiti uusage ww mwenyewe uchanganye na asali original.
 
Inasaidia kurudisha uke katika hali nzuri( uke unakuwa kama mpya yaani hujatumika sana "bikra") ila ni vizuri ukapata Amdalasini ule wa mitimiti uusage ww mwenyewe uchanganye na asali original.

Unapaka au una kunywa :wacko:
 
Unapaka sehemu ambazo unataka zipate ashiki halafu unakunywa pia.
Kha kweli mahangaiko ya dunia kupaka:eek2:! na zile chengachenga hazikudhuru kunako? hii ndo naisikia mie najua kunywa tu ikichanganya na asali na kuulamba ukinganya na asali maana ndo napenda lakini hii ya kupaka kwa bibi mpya:wacko:?
 
Unapaka au una kunywa :wacko:

Unakunywa kama chai (maji ya moto kwenye kikombe weka mdalasini na asali kijiko kimoja cha asali) mara mbili kwa siku yaani asubuhi na jioni. Au unaweza lamba baada ya kuchanganya mdalasini na asali.
 
Unakunywa kama chai (maji ya moto kwenye kikombe weka mdalasini na asali kijiko kimoja cha asali) mara mbili kwa siku yaani asubuhi na jioni. Au unaweza lamba baada ya kuchanganya mdalasini na asali.

Ok! mi ni mtumiaji mzuri wa asali na mdalasini but ckujua kuhusu hilo somo lako jipya..... Nashukuru.
 
Kha kweli mahangaiko ya dunia kupaka:eek2:! na zile chengachenga hazikudhuru kunako? hii ndo naisikia mie najua kunywa tu ikichanganya na asali na kuulamba ukinganya na asali maana ndo napenda lakini hii ya kupaka kwa bibi mpya:wacko:?
Rubi nami nilikuwa nawaza kama wewe... inakuwaje hizo chenga za mdalasini huko kunako...
 
Warning....Mdalasini ukitumiwa kwa wingi inaleta matatizo ya ini
 
Inasaidia kurudisha uke katika hali nzuri( uke unakuwa kama mpya yaani hujatumika sana "bikra") ila ni vizuri ukapata Amdalasini ule wa mitimiti uusage ww mwenyewe uchanganye na asali original.
Tobaaa.... sasa chakula mnaiweka hukoo?
 
Yaani nina mwaka na zaid radha ya majani ya chai na sukari nimeisahau
kwangu mdalasini ndo majan ya chai na asali ndo sukari
mwili na meno na vingine full comfotable
harufu mdomon siijui!!!

utafiti mdogo fanya hivi piga mswaki kabla ya kulala ukiwa umemaliza kula
chukua kijko 1 cha asal na mdalasin
kologa kwenye kikombe 1 chenye maji ya moto ka ya chai au changanya yenyewe bila maji ya moto ndo nzuri zaidi kwa kulamba
amka asubuh utaona matokeo yake harufu nzuri mdomon, meno utayasikia ka umetoka jimu ya meno!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…