Hello habari kuna dogo kaamua kuacha kozi ya clinical medicine na kwenda kozi ya ufamasia ,na alikuwa anafanya vizuri tu sasa ilikuwa anakarbia kufanya mtihani wa cat one mwaka wa pili kaamua kuacha anataka akasome ufamasia tumemweleza aendelee kwanza na diploma afu atajiendeleza badae hataki kabisa,nini Cha kufanya kwake ,na alisoma mpaka form six alipata division two ya 10 phy-D,chem-C na bios-C,sijui nini kimemkuta kwenye akili yake kuamua kuicha clinical medicine ilihali hajafeli.ushauri ndg