ameanza masters class....uchumba kushney

From a lady.. this is a compliment...
Ndio ajue ili siku nyingine awe makini magonjwa makubwa kwa wanawake tulio wengi ni mawili tu,kupewa kazi ya ukweli na matunzo basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!vingine mbwembwe tu.
 
Ki afrika bwana wasichana wameshameza kupitwa kila kitu ndo mapenzi yanakuwa byee ila msichana akupite kielimu,kifueza,urefu,umri na hata uzuri ukiwa gepu kubwa lazima mahusiano yanakuwa ya mashaka.
 
Ki afrika bwana wasichana wameshameza kupitwa kila kitu ndo mapenzi yanakuwa byee ila msichana akupite kielimu,kifueza,urefu,umri na hata uzuri ukiwa gepu kubwa lazima mahusiano yanakuwa ya mashaka.

Ha ha haaa mkuu nimeipenda hii
 
Ingekuwa ndoa ningehangaika kuumiza kichwa kuwashauri lakini r/ship allaa!yaani na kazi anayo bado anapelekwa hivyo!huyo sio size yake achague mwingine!
 
mm nadhani mshauri jamaa atafute mwanamke mwingine wa kuoa. mwanamke akikupenda hakuna cha masters wala vikwazo vya ndugu zake vinavyoweza kumzuia. hivyo amshirikishe Mungu ili amsaidie kumpata mwanamke wa kumfaa. asilazimishe mapenzi kwani hayalazimishwi ukilazimisha utakufa kwa presha

anamkomoa hela kwasababu hana future naye, alishamtoa moyoni, kama angekuwa anampenda na anataka kuoana naye asingefanya hivyo
 
jamaa ako hata kama kusoma hajui, hata picha haoni? huyo mdada anaogopa kumpa makavu live. ndo maana kaamua kumkwepa kwepa ili jamaa ako achoke mwenyewe!
 
mapenzi na wanachuo bana...fully matatizo..
 
....unajua kuna vitu ambavyo wanawake hufanya halafu wanakuja kujuta baadaye...shule kitu gani watu tunaangalia kunyoosha maisha kwanza.....eti anasoma, khaa....kama vipi mshikaji AMPOTEZEE FOREVER.........BUT BELIEVE ME MALIPO NI HAPA HAPA....LAZIMA AJUTE.
 



tamu ya chai sukari ndugu.....................
 

Dua la kuku. Hiyo ni story ya jamaa tu,angejaribu kumuuliza naye mchango wake katika kuyafikisha mahusiano hapo yalipo.
 
you guyz, listen to this..it is possible to enforce the laws but too difficult to enforce love.....if somebody say no to love it means there z somthn ua missing thus y she act like that, there z no need of questioning...i know it pain to some people who incurred expenses 4 their lovers but u need to accept the challenges and show how strong you are....................Thank God because the storm is over, it doesnt matter whatever happen.........................
 
Jama huyo awe muelewa, kaisha ambiwa mtoto yupo busy na shule, amuache mtoto afanye shule yake vizuri afaulu vizuri, badae wataendelea, Tatizo jamaa anaonekana papala halafu ajiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…