Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Amechaguliwa kozi zinazofanana katika vyuo hivi.
Institute of Social Work
Kampala University
Je aende wapi??
Institute of Social Work
Kampala University
Je aende wapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eneo ulipendaloAmechaguliwa kozi zinazofanana katika vyuo hivi.
Institute of Social Work
Kampala University
Je aende wapi??
Aende Kampala GPA kubwa atapata bila shidaAmechaguliwa kozi zinazofanana katika vyuo hivi.
Institute of Social Work
Kampala University
Je aende wapi??
Hmna bora hapo kati ya hvyo ulivyovitaja,kwa ushauri wangu befr hajafny confirmation ni bora akareapply vyuo vngn but if kuna 3rd round afnye hvyo mapemaAmechaguliwa kozi zinazofanana katika vyuo hivi.
Institute of Social Work
Kampala University
Je aende wapi??
Kwanini umesema hivyo, inaonyesha yeye ndio vyuo alivyochagua. Mbona wengine wanasoma hapo na wanamaliza mkuu.Hmna bora hapo kati ya hvyo ulivyovitaja,kwa ushauri wangu befr hajafny confirmation ni bora akareapply vyuo vngn but if kuna 3rd round afnye hvyo mapema
Ooh!!angalia ubora wa chuo ,usiangalie kwann wngne wanasa pale ,sawa mkurungez?Kwanini umesema hivyo, inaonyesha yeye ndio vyuo alivyochagua. Mbona wengine wanasoma hapo na wanamaliza mkuu.
sawa mkuuOoh!!angalia ubora wa chuo ,usiangalie kwann wngne wanasa pale ,sawa mkurungez?