N NADIA NJAMA New Member Joined Jun 18, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Jun 18, 2014 #1 Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha nne na amefaulu tu vizuri cha kushangaza aja pangiwa katika posts amekata tamaa mana baba yake ana dhani ajafaulu.
Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha nne na amefaulu tu vizuri cha kushangaza aja pangiwa katika posts amekata tamaa mana baba yake ana dhani ajafaulu.
L LIGHTNESS JUNIOR Member Joined Jun 20, 2014 Posts 13 Reaction score 0 Jul 3, 2014 #2 Huyo anawadanganya 2 hajafaulu aliwatajia namb ya uongo mwambie kama kweli aclick hapa wliofl.com
Hebie JF-Expert Member Joined Jul 29, 2012 Posts 1,414 Reaction score 868 Jul 3, 2014 #3 Tambua kuwa kufauru na kuchaguliwa ni vitu viwili tofauti, wanaosoma private si kama walifeli ila hawakuchaguliwa tu. Aende private.
Tambua kuwa kufauru na kuchaguliwa ni vitu viwili tofauti, wanaosoma private si kama walifeli ila hawakuchaguliwa tu. Aende private.
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Jul 3, 2014 #4 Shule kibao zipo za private si aende tu. Tatizo pia hua haminiki katika familia kwa sababu amezidisha uongo.
Shule kibao zipo za private si aende tu. Tatizo pia hua haminiki katika familia kwa sababu amezidisha uongo.