Amegundua vidonge vya ARV's chumbani kwa mpenzi wake

Asante NGURUVI...Nimeupata ushaur wako na nitaufanyia kazi!.... CHAGIZO:Kwetu Nguruvi maana yake Mungu...ukiandka "NGURUVI3"=NGURUVI YA IDATU=MUNGU ROHO MTAKATIFU(Kwa imani ya kikristo Mungu mmoja nafs tatu i.e Mungu Baba,Mwana na Roho mtakatfu!...moja ya role ya nafs ya tatu ni kutoa mapaji saba...Hekima na Elimu yakiwemo!Kwa ushaur wako naiona reflection ya mapaji ya Mungu roho Mtakatfu ndan yako(Samahan kama ni wa iman ya din nyinine)
 
dah, inasikitisha...kuchanganikiwa kwa jamaa ni ishara kwamba kaenda kavu na na yeye kaathirika, so hamna jinsi hapo!!
Wote wameshaungua, cha kufanya ni kuanza mazoezi, kazi ngumu za minara apunguze, matunda aanze kula kwa wingi,
mboga za majani nk. Hii ni baada ya kuwa confirmed medically, asiwe na mlengo wa nyuma kulipiza kisasi kwa kuanza
kutembea hovyo na wengine, akipata new virus huko,itakuwa mbaya zaidi ya mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…