Hili swali hata mi nilitaka kumuuliza kwani sio kila course wanapata mkopo.Course gani?
Diploma in Veterinary Laboratory Technology na meseji ya kuchaguliwa imeniambia kozi imepewa kipaumbele cha kupewa mkopo ajabu nikiingia OLAMS kuna sehemu nakwama kwa sababu nadaiwa taarifa za form six au certificateAmemaliza combination gani anaenda course gani?
Basi hiyo sio kwa ajili yako kama kuna vigezo vimewekwa na wewe hunaDiploma in Veterinary Laboratory Technology na meseji ya kuchaguliwa imeniambia kozi imepewa kipaumbele cha kupewa mkopo ajabu nikiingia OLAMS kuna sehemu nakwama kwa sababu nadaiwa taarifa za form six au certificate
Unendaje diploma bila certificate na huna cheti cha form 6? au hili mimi sijui vizuri,? maana nachojua kama hujahitimu kidato cha 6 ni lazima upite kwanza NTA Level 4 halafu 5 then 6 sidhani kama unaweza kuanza mafunzo ya diploma moja kwa moja bila kupitia certificate kama huna cheti cha form six.Diploma in Veterinary Laboratory Technology na meseji ya kuchaguliwa imeniambia kozi imepewa kipaumbele cha kupewa mkopo ajabu nikiingia OLAMS kuna sehemu nakwama kwa sababu nadaiwa taarifa za form six au certificate
Wewe unazungumzia zile diploma za kuungaungaUnendaje diploma bila certificate na huna cheti cha form 6? au hili mimi sijui vizuri,? maana nachojua kama hujahitimu kidato cha 6 ni lazima upite kwanza NTA Level 4 halafu 5 then 6 sidhani kama unaweza kuanza mafunzo ya diploma moja kwa moja bila kupitia certificate kama huna cheti cha form six.
Nazingua nini ? Au ndiyo much know π€£Wewe unazingua zile diploma za kuungaunga
Typing error mkuuNazingua nini ? Au ndiyo much know π€£
π«’ππTyping error mkuu
Hizi ndizo sifa walizoweka HESLBNaombeni msaada katika hili wadau mtu aliyehitimu kidato cha nne anaweza kupewa mkopo na bodi ya mkopo kwa ajili ya kusoma diploma?
Hpn boss hadi awe na cheti cha form six au cha certificate (nkimaanisha awe amesoma chuo kwa mwaka mmoja baada ya kutoka form four) na kulingana na kozi zilizopewa vipaumbele...Naombeni msaada katika hili wadau mtu aliyehitimu kidato cha nne anaweza kupewa mkopo na bodi ya mkopo kwa ajili ya kusoma diploma?
====
Pia soma: Bodi ya Mikopo (HESLB) pamoja na kutoa mwongozo Kidato cha Nne kuomba mkopo wa Diploma, mfumo wao hauruhusu