Amehukumiwa aende jela miaka tisa au atoe faini ya million 9, anaweza peleka hati?

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Wakuu ninarafiki yangu alikuwa na kesi na amekiri kosa na hukumu imetoka wiki iliyopita..

(Amehukumiwa aende jela miaka tisa au atoe faini ya million 9.)

Sasa ushaurini wenu ninaoomba ni kwamba yeye hana hizo milioni tisa cash ila anamali yenye thamani inayofika hiyo hela.

Sasa ndugu zake wamejaribu kuuza ila hali ngumu kwa sasa wateja hakuna na siku ziinaenda.

Ninachokiomba kwenu je inawezekana mtu huyu kupeleka hati ya mali yake mahakaman then atolewe au kunakitu chochote ninachoweza kufanya ili kumsaidia huyu best yang.
Ushauri wenu muhimu tafadhali.
 
Wakuu bado nasubilia maoni yenu ni muhimu sana.
 
Ungetaja na kitu mnachouza ili kama kuna mtu anaweza kununua tu kwa lengo la kukusaidia ili ndugu yako atoke jela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawezi peleka mali! Kazaneni kuuza ili mpate hiyo pesa!
 
Mkuu mbona hukumu IPO wazi fedha taslimu 9million au jela miaka 9.

Dhamana ndio unaweza kuweka Mali isiyohamishik
 
Achana na ukurasa huu uhamishie kwenye jukwaa la sheria utapa msaada.
Wakuu ninarafiki yangu alikuwa na kesi na amekiri kosa na hukumu imetoka wiki iliyopita..

(Amehukumiwa aende jela miaka tisa au atoe faini ya million 9.)

Sasa ushaurini wenu ninaoomba ni kwamba yeye hana hizo milioni tisa cash ila anamali yenye thamani inayofika hiyo hela.

Sasa ndugu zake wamejaribu kuuza ila hali ngumu kwa sasa wateja hakuna na siku ziinaenda.

Ninachokiomba kwenu je inawezekana mtu huyu kupeleka hati ya mali yake mahakaman then atolewe au kunakitu chochote ninachoweza kufanya ili kumsaidia huyu best yang.
Ushauri wenu muhimu tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu ninarafiki yangu alikuwa na kesi na amekiri kosa na hukumu imetoka wiki iliyopita..

(Amehukumiwa aende jela miaka tisa au atoe faini ya million 9.)

Sasa ushaurini wenu ninaoomba ni kwamba yeye hana hizo milioni tisa cash ila anamali yenye thamani inayofika hiyo hela.

Sasa ndugu zake wamejaribu kuuza ila hali ngumu kwa sasa wateja hakuna na siku ziinaenda.

Ninachokiomba kwenu je inawezekana mtu huyu kupeleka hati ya mali yake mahakaman au mahakama imruhusu atoe pesa kidogokidogo then atolewe au kunakitu chochote ninachoweza kufanya ili kumsaidia huyu ndugu

Una hati na kitu gani? Thaman ya hicho kitu inafikia hiyo pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kadiri siku zinavyokwenda adhabu yake inapungua thamani ya pesa hiyo watampigia hesabu siku alizokaa jela ni sawa na kiasi gani wanatoa kwenye ile milioni tisa hivyo awe mvumilivu tu hadi bei zinapotengamaa za nyumba
 
Sawa kumbe bei inashuka kadri anavyokaa huko sikuwahi kujua hilo.

Ss nishauri kitu mkuu kwenye malipo je ndugu wanaweza kupeleka pesa nusu then iliyobaki wakawa wanatoa kidogokidogo hata kwa maandishi au barua rasmi?
 
Hiyo haipo waombe akaunti wanaweza endelea deposit wanatunza slip mpaka itimie ndipo waende nazo slip wakamtoe! Sasa sijui kama deni umecalculatiwa leo halafu ukaenda kumalizia miezi mitatu ijayo utarudi tena kuangalia kiasi gani anadaiwa?kabla hujamalizia
 
Back
Top Bottom