unasubili na wakati hutaki kujibu ni mali gani anayouza na imekosa wateja.Wakuu bado nasubilia maoni yenu ni muhimu sana.
Wakuu ninarafiki yangu alikuwa na kesi na amekiri kosa na hukumu imetoka wiki iliyopita..
(Amehukumiwa aende jela miaka tisa au atoe faini ya million 9.)
Sasa ushaurini wenu ninaoomba ni kwamba yeye hana hizo milioni tisa cash ila anamali yenye thamani inayofika hiyo hela.
Sasa ndugu zake wamejaribu kuuza ila hali ngumu kwa sasa wateja hakuna na siku ziinaenda.
Ninachokiomba kwenu je inawezekana mtu huyu kupeleka hati ya mali yake mahakaman then atolewe au kunakitu chochote ninachoweza kufanya ili kumsaidia huyu best yang.
Ushauri wenu muhimu tafadhali.
Una hati na kitu gani? Thaman ya hicho kitu inafikia hiyo pesaWakuu ninarafiki yangu alikuwa na kesi na amekiri kosa na hukumu imetoka wiki iliyopita..
(Amehukumiwa aende jela miaka tisa au atoe faini ya million 9.)
Sasa ushaurini wenu ninaoomba ni kwamba yeye hana hizo milioni tisa cash ila anamali yenye thamani inayofika hiyo hela.
Sasa ndugu zake wamejaribu kuuza ila hali ngumu kwa sasa wateja hakuna na siku ziinaenda.
Ninachokiomba kwenu je inawezekana mtu huyu kupeleka hati ya mali yake mahakaman au mahakama imruhusu atoe pesa kidogokidogo then atolewe au kunakitu chochote ninachoweza kufanya ili kumsaidia huyu ndugu
Ushauri wenu muhimu tafadhali.
Sawa kumbe bei inashuka kadri anavyokaa huko sikuwahi kujua hilo.Kwa kadiri siku zinavyokwenda adhabu yake inapungua thamani ya pesa hiyo watampigia hesabu siku alizokaa jela ni sawa na kiasi gani wanatoa kwenye ile milioni tisa hivyo awe mvumilivu tu hadi bei zinapotengamaa za nyumba
Hiyo haipo waombe akaunti wanaweza endelea deposit wanatunza slip mpaka itimie ndipo waende nazo slip wakamtoe! Sasa sijui kama deni umecalculatiwa leo halafu ukaenda kumalizia miezi mitatu ijayo utarudi tena kuangalia kiasi gani anadaiwa?kabla hujamaliziaSawa kumbe bei inashuka kadri anavyokaa huko sikuwahi kujua hilo.
Ss nishauri kitu mkuu kwenye malipo je ndugu wanaweza kupeleka pesa nusu then iliyobaki wakawa wanatoa kidogokidogo hata kwa maandishi au barua rasmi?