Mwalimu Nyerere alisema kuna maadui watatu (3) wa maendeleo ambao ni ujinga, umaskini, malazi,....katika kizazi cha sasa ameibuka adui mwingine - MAPENZI......!!!!!, refer KANUMBA death.
> JE KUNA UKWELI KATIKA HILI? > TUFANYAJE KUMPINGA ADUI HUYU, AMBAYE SASA AMEFIKIA HADI HATUA YA KUCHUKUA UHAI WA WAPENDWA WETU.
hao maadui watatu wamepata mzazi nae ni ccm.
kwa hiyo tunasema maadui watatu wameunganishwa na ccm na sasa tuna adui mmoja mwenye pembe nne,mikia 40,vichwa vitatu na suluhu yetu ni sanduku la kura 2015.