Amekasirika. Kisa...nimemuuliza "wataondoka lini"

Naogopa kuchangia hoja hii! Itoshe kusema binadamu tuna silka nyingi. Lakini pia sijui kama ni maadili au utamaduni wa kukaa na ndugu hata pale ambapo hazalishi chochote, na hata ukimwuliza umsaidieje hajui asaidiweje, yeye anataka ale, alale,na usipokuwa makini atoe command kwa binti wa kazi, na ukijashtuka kamkaribisha rafikiye pia kukaa, ilmradi vurugu mtindo mmoja. Kuna mtu mmoja ambaye huwa akitembelewa na jamaa zake, anawambia hapa nyumbani kama muonavyo vyumba vimejaa. Nina hela ya kuwalipia chumba guest ya karibu kwa siku 3. Lakini chakula mtakula hapa. Hivyo wageni wake hulazimika kumweleza kitu gani wamejilia na wanakaa muda gani, sometimes hulazimika kufanya haraka wamalize warudi kwao badala ya kutaka kubanana! Dunia ya leo mtu gani anaweza kukaa kwa nduguye wiki 1 hadi mwezi anakula na kulala? Hapa siongelei wazazi, kwa kuwa wao wana-status za pekee. But seriously unakuta kijana early 20's anakaa na haoni shida, asubuhi ana-bomu hela ya daladala, ukimwambia umsaidieje hajui anahitaji nini! Inachefua sana
 
Kuuliza unakuja lini na unaondoka lini mbona ndio taratibu za siku hizi especially hii dunia ya huku tunakoishi....Huko huwezi kufika tu bila taarifa na pia lazima useme unakuwa kwa wenyeji wako kwa muda gani.....Nafikiri ni utamaduni mzuri kwa sababu watu wana shighuli za kufanya...na the fewer guests in the house the better. So yes kama baba wa nyumba ninge demand kujua wanakaa muda gani...It is a legitimate question since wewe ndio bread winner wa familia.
 
Mitipori No Shambamiti No i mean Mitishamba ! (excuse user name yako complicated nimelikosea mara kadhaa)
Ni hivi mkuu, ukisikia VISA VYA WANAWAKE ! ni pamoja na hicho.
> Visa
> Vituko
> Vimbwanga
> Mbwembwe
> Mashebeduzi
> Visirani
> Tamaa
> Umbea
N.k n.k
Hayo ni maumbile yanayotawala silka ya kike! Rejea 7 x 70 wasamehewe.
So take it normal and easy.
 
Kaka mitishamba pole sana! Ukisikia gubu la mke ndio hilo! Kwani huwa ana tabia ya kununa nuna kwa kila jambo dogo? Nawiwa kuamini kuwa inawezekana anakutingishia kibiriti juu ya swala lingine kabisa na hili la wageni ni kisingizio tu....
 
Kimsingi upo sahihi sana. Teknohama ipo na inazidi kushamiri. Inapatupasa na familia zetu kuadapt teknohama. Huko majuu hata kukaa na mtu bila taarifa wala mpango wowote HAKUNA sembuse kuuliza utaondoka LINI?
Anyway ni wakati wa kupunguza kama sio kuondoa kabisa extended family responsibilities.
 

pwenti
 
ha haaaaaaaaaaaaaa, watatuambia tumekuwa wazungu. kibongobongo mgeni anakuja atakavyo, na anaondoka atakapo, tena kwa nauli yako na hela ya kulipa mkopo wa nauli aliyokupa kujia kwako, kama ulimuita vile
 
ha haaaaaaaaaaaaaa, watatuambia tumekuwa wazungu. kibongobongo mgeni anakuja atakavyo, na anaondoka atakapo, tena kwa nauli yako na hela ya kulipa mkopo wa nauli aliyokupa kujia kwako, kama ulimuita vile

.....tena anakuja bila taarifa. utamstukia huyo!
 

Pole yako....amepata sababu ya kujipa likizo...:lol:!

May be unaweza kurudia tena maneno yako kuwa, uliuliza kwa nia njema tu. Na pia labda anataka ubembeleze....si unajua wanawake wengine wanapenda kudeka.....:lol:
 
Reactions: BAK
Pole yako....amepata sababu ya kujipa likizo...:lol:!

May be unaweza kurudia tena maneno yako kuwa, uliuliza kwa nia njema tu. Na pia labda anataka ubembeleze....si unajua wanawake wengine wanapenda kudeka.....:lol:

Au nichepuke kidogo?
 
Una maana uondoke??!! hapana...hiyo ndo itaonyesha umewakimbia ndugu zake. Kama amenuna kwa siku 2, zinatosha sasa, ukimsemesha tu,..atakujibu! unaanza na ka-utani hivi...🙂

Namanisha smolu farm...
 
mkeo ana elimu gani?au bado ni mdogo sana?hana mipango kabisa ya familia
 

Kwa namna flani atakuwa amefikiri umewachoka ndugu zake, ilopo mweke wazi nia yako ya kumuuliza hivyo na baada ya hapo umpe shua kabisa kuwa unapo mkera suluhisho siyo kusonya ama kununa na kukata mawasiliano bali kukueleza ulichomkera nacho ni vyema ili uwe na fursa ya kujirekebisha usijerudia tena kama ni kosa kweli
 

Nimekusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…