Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Huu ni mwaka wa sita toka nilivyoanzisha uzi humu JF kuhusu mdogo wangu aliyepata GPA ya majonzi 0.3 kwenye matokeo yake ya kidato cha nne enzi hizo ya motoo na inavutia kweli kweli siku hizi wanajua wenyewe ilivyokuwa haili muda wangu tena.
Uzi wenyewe huu hapa
www.jamiiforums.com
Huyu dogo amekuwa Dereva wa Temesa hana hata miaka mitatu, anaweza kuwa na kamshahara kazuri kiasi cha kumiliki vitu ambavyo mimi hadi nikope ndio nivipate?
Uzi wenyewe huu hapa
Ushauri wakuu kuhusu mafunzo ya udereva
Wakubwa nina ndugu yangu amehitimu kidato cha nne 2014 na kupata GPA ya 0.3, amekuwa kama mzigo sasa hakuna anachokifanya cha kumuingizia kipato ila ni dereva mzuri sana japo hajapitia mafunzo yoyote. NAOMBENI USHAURI WENU JE NIKIMPELEKA VETA AKASOME DRIVING MAFUNZO YA AWALI INAWEZA KUMSAIDIA...
Huyu dogo amekuwa Dereva wa Temesa hana hata miaka mitatu, anaweza kuwa na kamshahara kazuri kiasi cha kumiliki vitu ambavyo mimi hadi nikope ndio nivipate?