SijaelewaHuu ni mwaka wa sita toka nilivyoanzisha uzi humu JF kuhusu mdogo wangu aliyepata GPA ya majonzi 0.3 kwenye matokeo yake ya kidato cha nne enzi hizo ya motoo na inavutia kweli kweli siku hizi wanajua wenyewe ilivyokuwa haili muda wangu tena.
Uzi wenyewe huu hapa
Ushauri wakuu kuhusu mafunzo ya udereva
Wakubwa nina ndugu yangu amehitimu kidato cha nne 2014 na kupata GPA ya 0.3, amekuwa kama mzigo sasa hakuna anachokifanya cha kumuingizia kipato ila ni dereva mzuri sana japo hajapitia mafunzo yoyote. NAOMBENI USHAURI WENU JE NIKIMPELEKA VETA AKASOME DRIVING MAFUNZO YA AWALI INAWEZA KUMSAIDIA...www.jamiiforums.com
Huyu dogo amekuwa Dereva wa Temesa hana hata miaka mitatu, anaweza kuwa na kamshahara kazuri kiasi cha kumiliki vitu ambavyo mimi hadi nikope ndio nivipate?View attachment 2763606
Ni kitega uchumi cha kanisa chief niko lindo mazingira hayaMkuu hio picha uliyoweka ni kitega uchumi cha kanisa au ndo mali aliyokuja nayo dom?maisha katikati huwa kuna vimambo vingivingi mkuu watu kujiongeza katika mianya mbalimbali halafu ngoja nikupe siri moja ya maofisini...mara nyingine kwenye michoro mwanamke staff huwa hashirikishwi sana..believe me or not ipo hivo wanaami I ina sponsor wako ata cover tu bills zako ukinasa wanaume tunajilipua on our own risk
Hujasema mali gn isije kuwa furniture tuNi kitega uchumi cha kanisa chief niko lindo mazingira haya
Huu ni mwaka wa sita toka nilivyoanzisha uzi humu JF kuhusu mdogo wangu aliyepata GPA ya majonzi 0.3 kwenye matokeo yake ya kidato cha nne enzi hizo ya motoo na inavutia kweli kweli siku hizi wanajua wenyewe ilivyokuwa haili muda wangu tena.