Amekumbatiwa imekuwa kizazaaaa

Ampe nauli ili aondoke alaf ndo hivyo tena, km hatampa naul ataendelea kuuweka hapo kwake na kumfanya mshkaj kupata presha bure.

Yap hii imetulia hata mimi nimefikiria hivyo
 

Magoo uwe wewe au rafiki yako, lakini ushauri ni huu huyo mwanamke ni ngulumbembe. Kama huelewi maana ya wanawake mangulumbembe ni wanawake ambao machoni wanaonekana kama wanafaa lakini kumbe hawafai hata kidogo kutokana na tabia zao za kujirahisi kwa wanaume!
 
huyo si wa kumpa nauli-cha kufanya ni yeye kuambiwa ahamie kwa huyo jirani yake-mchakato wake uishie hapo
 
mkuu kesho aende pale ubungo jamaa yako akakate tiketi halafu amwambie demu alhamisi home(mwanza) jamaa amsindikize mpaka sitendi ahakikishe amepanda basi! asimpe hala mkononi huyo mkuda!
 
live haihitaji kutafuta ushauri
mabasi yapo hata kesho asubuhi
jamani hata hofu hana?


 
Tatizo penzi mkuu

Mkubwa hapo penzi hakuna!!!!!.. Penzi ni kuheshimiana bwana!!!! Yaani huyo dada hana adabu kabisa!! Na kama ataendelea nae.. she'll continue be an excruciating pain on his neck!!! Tell him to do his homework!!! (I mean break from her).
 
duh! hapo chacha
ampe nauli arudi kwao sio fresh kumbwaga hapo mana atahamia room yajirani na yy atakua anaumia kila cku
 
Yaah nakubaliana na hili
 
Au alikosea mlango?
Mpe nauli natena umsindikize mpaka kituoni na hakikisha apande gari kabisa.
 

Hapo ndio mwisho wa hadith yao. Hakuna kutoa nauli wala nini cha msingi ni kumwambia binti ukweli kuwa yeye na yule binti ndio basi. Dunia imeharibika magonjwa mengi.
 
mbona anamkawiza..timua haraka,nyuma ya pazia huyo anagawa hadi tigo.
 
tena ashukuru amemgundua mapema,ana pepo la ngono uyo hutomweza na ili suala la kukutana na mtu juu kwa juu na kuanzisha mahusiano bila kumjua tabia yake ndio mazara yake hayo
 
Bado hujamuondoa tu???? Unangoja hadi umkute kitandani??? Timua huyo fastaaaaaaa
 
@Mbaha, Dude....whats'up with the avatar?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…