Amekumbatiwa imekuwa kizazaaaa

huyo jamaa atakuwa mume ***** baadae!!kuna ushauri hapo tena?
 
Kama kwei alimuona kamkumbatia basi huyo si mke!siku nne tu ashajuana na mtu na tayari ashakumbatiwa na yupo kwa bf wake na bf wake yupo ndani kalala??si mke huyu! Mwambie ampe nauli aondoke na simwambie sasa hivi sema akifika kule mza ndo amwambie!
 
unauliza jibu ndio imetoka hiyo tafuta njia nyingine
 
So kusema jirani anamega mzigo wakati jamaayupo katika kutafuta ridhiki kwa kitaa. So sad
 

Hahaaha.. na kanga moja! ampige chini kwa kweli.
 
Sasa kama anakumbatiwa kwenye himaya ya huyo bf wake, huko mwanza asikoonekana alikuwa anafanywaje???!! Huff!
Kwa vyovyote Mwanza watu walikuwa wanajisevia. Kisichokuwepo machoni ........, mwingine amalizie pliz
 
Ampe nauli ili aondoke alaf ndo hivyo tena, km hatampa naul ataendelea kuuweka hapo kwake na kumfanya mshkaj kupata presha bure.
Na asipompa Nauli,Hile Njemba la jiran litaendelea kukamua mwanzo mwisho huku Jamaa akiwa anatunza ndani,na akimpa Nauli asijeshangaa after 2 days Demu karudi kwa Njemba,, Namshauri jamaa ahamie mtaa wa 7
 
Kanga moja ndembendembe! Hapo hamna kitu na akiowa basi ajue amewaolea watu
 
Kwa siku 4 tuu..gf ameweza kuwa na uhusiano wa karibu kiasi hicho?....hebu afanye uchunguzi wa kina...huenda hako kamchezo wameanza siku nyingi....amrudishe kwao fasta MZA. then akiwa huko amtaarifu uamuzi wake kwa kile alichokiona
 
Sasa kama anakumbatiwa kwenye himaya ya huyo bf wake, huko mwanza asikoonekana alikuwa anafanywaje???!! Huff!

Huyu kweli balaa,yaani kwa bf wake anafanya hivyo?
 
Kama ni mimi namtimua kama nauli akatafute uwanja wafisi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…