Amekwama, ameamua kuuza nyumba yake kubwa na ya kisasa bei chee kabisa.

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
248
Tuwasiliane hapa 0717369162 haraka kabla mmiliki hajagairi kuuza. ( sms zitajibiwa )
 
Shida zipo. Na shida kaumbiwa binadamu( mimi na wewe ). hivyo kukwama katika maisha ni kawaida tu. kikubwa ni kusolve
 
poa chap chap, nina milioni tatu na nusu
 
Mwenyenyumba hawezi kuuza kwa style hii.
Hembu nenda Field ya udalali kwanza au kajiunge pale Temeke kuna chuo kinaitwa DALALI`S TRAINING COLLEGE.
Darasa lipo chini ya Muarobaini
 
Mod naomba kuna watu wakiwa wanaweka matangazo uwe unawapa ban mana hawajui kuandika matangazo na watu wanasema ukiweka tangazo,make sure linajitosheleza kabisa means lina information zote.
Plz toa maelezo ya kutosha like nyumba iko wapi,dar au mwanza na ni sehem gani na ukubwa gan na unauza sh ngap.Plzz
 
akiuza nyumba tatizo lisipokuwa-solved.. ATAJIUZA MWENYEWE SASA HUYO MTU..
NB: Matatizo hayaishi hata siku moja.
 
Nyumba ni mpya, ipo Dar ( Kivule Gongo la mboto ).Ni ya vyumba vitatu vya kulala, jiko, seating and dinning room,
 
Nyumba bado haijaisha yote. imeshapigwa bati. dirisha ni zile za chuma na mlango mkubwa una geti.
 
chumba kimoja kati ya vitatu vya kulala ni master. pia baadhi ya milango tayari iko na fremu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…