nasikia nyumba ipo kwenye hifadhi ya barabara inataka kubomolewa kwahivyo anatafuta mtu wa kufa nayoMwenyenyumba hawezi kuuza kwa style hii.
Hembu nenda Field ya udalali kwanza au kajiunge pale Temeke kuna chuo kinaitwa DALALI`S TRAINING COLLEGE.
Darasa lipo chini ya Muarobaini
nasikia nyumba ipo kwenye hifadhi ya barabara inataka kubomolewa kwahivyo anatafuta mtu wa kufa nayo
kila la kheriNimeongea naye hiyo nyumba inauzwa milioni 15 tu!!!
Wa wapi wewe!! Khaaaa
Tanki lipoNyumba bado haijaisha yote. imeshapigwa bati. dirisha ni zile za chuma na mlango mkubwa una geti.