Amelowanisha kitanda chote, nikalale wapi?

Kyai kya rangi
 
Ni wewe unaemla mke wangu? Ni wew kijana uliyepita na bodaboda ukiwa na tisheti ya blue that day? Ooh ni wew namba yako ya simu inaishia na 089?.

Kijana jisalimishe kituo chochote karibu yako, nakufuatilia kwa ukaribu kweliiii kweliiiii[emoji16][emoji23]
 
Mngelala chini ya uvungu wa kitanda.
 
ha ha ha kama uwezeshi mafuriko, kwa nini asikukimbie; acha kula chipsi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Siri za chumbani kuziweka barazani inakuwaje, we mwanaume wa wapi? Mwanaume hatoagi siri za chumbani, Kua!!
 
Siri za chumbani kuziweka barazani inakuwaje, we mwanaume wa wapi? Mwanaume hatoagi siri za chumbani, Kua!!
Vitabu vinatoa siri za chumbani na kutumika kama 'reference' kwenye vyuo n.k huko duniani; unasemaje kuhusu hao?
 
Kizazi hiki ni cha ovyo sana na mwisho wake utakuwa wa hovyo sana pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…