haya journalisthabari wanajamvi,kuna binti amemaliza mass communication katika chuo kikuu cha mlimani mwaka huu,anatafuta kazi sehemu yoyote ile,kwa ambaye amesikia tangazo au anafahamu mahali wanapohitaji wafanyakazi hususani kulingana na taaluma aliyosomea atujuze,kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia PM,ahsanteni
habari wanajamvi,kuna binti amemaliza mass communication katika chuo kikuu cha mlimani mwaka huu,anatafuta kazi sehemu yoyote ile,kwa ambaye amesikia tangazo au anafahamu mahali wanapohitaji wafanyakazi hususani kulingana na taaluma aliyosomea atujuze,kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia PM,ahsanteni
kuna kijiwe cha watangazaji kinaitwa clouds fm radio,mtafute rugemalila mutahaba utaingizwa hapo fasta,ukikubali mashart yake.