Amempa mwanae ubini wangu

Amempa mwanae ubini wangu

Mzee wa fact

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
246
Reaction score
228
Ni Ex girl friend wangu baada ya kutemana mwaka Kama na nusu hivi akapata ujauzito alfu msela kasepa akabaki kwenye mazingira Tata Sana.

Nikajitolea tu kumsaidia ili asidhalilike Ila baada ya kujifungua kampa mwanae jina la baba yangu hii imekaaje.

1628575152257.png

 
😄😄😄 ushaingizwa king endelea kuhudumia, gharama za malezi Ni ghali 😄😄😄
 
Amejiongeza ili itie zaido hudima au usiumie ukikumbuka gharama ulizotumia kumsaidia.

Amecheza kama Pelle kwenye saikolojia ya akili yako. Amekujaza vizuri utoe huduma zaidi.
Apo sasa pwagumu
 
Ungeuliza which zone am i?

Ningejibu she loves you as a friend😂😂😂
 
Mtoto anahitaji malezi huyo...lazma akupige mtu kati ki social science ili uendelee kutoa msaada,lkn usiache kama umeamua kujitolea[emoji16]
 
Baba mwenye mtoto naye akijitokeza itabidi apewe jina la ubini wake pia.
 
Back
Top Bottom