M Mzee wa fact JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 246 Reaction score 228 Aug 8, 2021 #1 Ni Ex girl friend wangu baada ya kutemana mwaka Kama na nusu hivi akapata ujauzito alfu msela kasepa akabaki kwenye mazingira Tata Sana. Nikajitolea tu kumsaidia ili asidhalilike Ila baada ya kujifungua kampa mwanae jina la baba yangu hii imekaaje.
Ni Ex girl friend wangu baada ya kutemana mwaka Kama na nusu hivi akapata ujauzito alfu msela kasepa akabaki kwenye mazingira Tata Sana. Nikajitolea tu kumsaidia ili asidhalilike Ila baada ya kujifungua kampa mwanae jina la baba yangu hii imekaaje.
44mg44 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2019 Posts 2,158 Reaction score 2,186 Aug 8, 2021 #2 Muulize yeye
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Aug 8, 2021 #3 Sasa ulitaka ampe la nani we s umejitolea jmn
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 6,346 Reaction score 14,546 Aug 8, 2021 #4 Imekaa kitaalamu sanaa Hayo Majina tuu
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 12,823 Reaction score 21,210 Aug 8, 2021 #5 Amejiongeza ili utoe zaido huduma au usiumie ukikumbuka gharama ulizotumia kumsaidia. Amecheza kama Pelle kwenye saikolojia ya akili yako. Amekujaza vizuri utoe huduma zaidi.
Amejiongeza ili utoe zaido huduma au usiumie ukikumbuka gharama ulizotumia kumsaidia. Amecheza kama Pelle kwenye saikolojia ya akili yako. Amekujaza vizuri utoe huduma zaidi.
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Aug 8, 2021 #6 😄😄😄 ushaingizwa king endelea kuhudumia, gharama za malezi Ni ghali 😄😄😄
M Mzee wa fact JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 246 Reaction score 228 Aug 8, 2021 Thread starter #7 Titicomb said: Amejiongeza ili itie zaido hudima au usiumie ukikumbuka gharama ulizotumia kumsaidia. Amecheza kama Pelle kwenye saikolojia ya akili yako. Amekujaza vizuri utoe huduma zaidi. Click to expand... Apo sasa pwagumu
Titicomb said: Amejiongeza ili itie zaido hudima au usiumie ukikumbuka gharama ulizotumia kumsaidia. Amecheza kama Pelle kwenye saikolojia ya akili yako. Amekujaza vizuri utoe huduma zaidi. Click to expand... Apo sasa pwagumu
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Aug 8, 2021 #8 Shukuru sana
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 11,931 Reaction score 15,849 Aug 9, 2021 #9 Jiandae kupelekwa ustawi
M Muamu3 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,708 Reaction score 4,531 Aug 9, 2021 #10 Ungeuliza which zone am i? Ningejibu she loves you as a friend😂😂😂
Bemendazole JF-Expert Member Joined Nov 14, 2020 Posts 2,649 Reaction score 6,680 Aug 9, 2021 #11 Ndio umesha adoptishwa ivo. Hongera kwa kupata mtoto wa kuasili.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Aug 9, 2021 #12 Ubin wenu una nomino ya kipekee kwamba hakuna watu wengine popote duniani wenye jina la ubin kama wa kwenu?
Ubin wenu una nomino ya kipekee kwamba hakuna watu wengine popote duniani wenye jina la ubin kama wa kwenu?
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,057 Reaction score 41,992 Aug 9, 2021 #13 Baba Junior
Beesmom JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 17,202 Reaction score 28,732 Aug 9, 2021 #14 Ndo utajua hujui,msomeshe sana ili jina lako lije likuokoe ukizeeka.Maana ndo ushakuwa baba ivo
dem boy JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 6,580 Reaction score 15,739 Aug 9, 2021 #15 Mtoto anahitaji malezi huyo...lazma akupige mtu kati ki social science ili uendelee kutoa msaada,lkn usiache kama umeamua kujitolea[emoji16]
Mtoto anahitaji malezi huyo...lazma akupige mtu kati ki social science ili uendelee kutoa msaada,lkn usiache kama umeamua kujitolea[emoji16]
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 9,266 Reaction score 7,426 Aug 9, 2021 #16 Ametumia akili ya kujiongeza.
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 9,266 Reaction score 7,426 Aug 9, 2021 #17 Baba mwenye mtoto naye akijitokeza itabidi apewe jina la ubini wake pia.
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Aug 9, 2021 #18 Wewe umeridhia au hujui ufanyaje??
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Aug 9, 2021 #19 Keshakunata.
K Kilemakyaaro JF-Expert Member Joined Jul 19, 2016 Posts 5,051 Reaction score 5,104 Aug 9, 2021 #20 Hiyo Kitaalam inaitwa msaada wako haujafika mwisho mtoto ana matumizi mengi