naomba usaidizi wenu wana JF, nina jirani ambaye ananikera lakini nimeshindwa kumueleza. Huyu jirani ni mlady mwenye umri wa kati and a single mother of two (boy n gal) issue ni kwamba she's a drunkered..n when she goes out for her drinks anawaacha wanawe kwangu nimlindie..tabia hii hunikera lakini nimeshindwa kumueleza. am single na havent thought of kumarry.
naomba ushauri.

Kama uko Tanzania,jaribu kwenda ustawi wa jamii.
Trust me,you don't want to be stuck in that situation for long,watoto wakianza kukua,itakuwa tricky.
Hey
ningependa kujua ustawi wa jamii wanafanya/watafanya nini,kwenye situation kama hizi...?
ni wazi kuwa kakuchagua uwe mzazi mwenzie au labda kapata free houseboy,nawe umeshakubali tayari unalea,sasa unatuulizia nini? Si mara moja moja anakuletea vi chips,bia au soda akirudi?.anyway kama analipa,beba vinginevyo mweleze, samahani mama/dada sitaweza kuwa nao.usimjibu jeuri,haifainaomba usaidizi wenu wana jf, nina jirani ambaye ananikera lakini nimeshindwa kumueleza. Huyu jirani ni mlady mwenye umri wa kati and a single mother of two (boy n gal) issue ni kwamba she's a drunkered..n when she goes out for her drinks anawaacha wanawe kwangu nimlindie..tabia hii hunikera lakini nimeshindwa kumueleza. Am single na havent thought of kumarry.
Naomba ushauri.