Jaman mimi ninampenzi lakini hatakai kabisa niguse simu yake! yaani namtunza kweli na kumpa kila anachotaka lakini yeye inaonekana anamtu mwingine! N
WATAALAMU WA IT, NAOMBA SOFTWARE YA KUHACKLE SIMU YAKE NIZISOME MESSEJI ZAKE KWA MBALI TUMALIZANE NA HUYU
Sidhani kama ku-hackle simu ya mpenzi wako itakuwa right, itakuwa ni kubaka privacy yake, muhimu ni kumweka kitako na kumweleza kinaga ubaga kuwa hupendezewi na hiyo tabia kuweka wazi juu ya fikira zako kuhusu yeye kuwa na mtu mwingine na zaidi ni msimamo wako asipobadilika.
ningempa dozi ya hack mara moja tu roho yangu ingetulia sana!Kama si mumeo au mke na unaona dalili za kuwa anacheat, piga chini. Do you need more evidence kwani mko mahakamani? maana najua kwenye ndoa ndio kuna wengi watauliza sababu za kutengana. Lakini boy/girlfriend software ya kazi gani kujiingiza garama? Achana nae abaki na simu yake whether anacheat or not he/ she has no right ya kuwa msiri si dalili nzuri.
Usiusemee moyo....Hata yeye anajua kila maunono anayapata!
Jaman mimi ninampenzi lakini hatakai kabisa niguse simu yake! yaani namtunza kweli na kumpa kila anachotaka lakini yeye inaonekana anamtu mwingine! N
WATAALAMU WA IT, NAOMBA SOFTWARE YA KUHACKLE SIMU YAKE NIZISOME MESSEJI ZAKE KWA MBALI TUMALIZANE NA HUYU
PIN code na security code zoyte zipo