Amenifungia nguo na kuweka kwenye begi eti nimpishe kwake japo kodi nalipa mimi

Noma hiyo jooo
 
Hongera kwa kupata darasa, uzuri ada umeshalipa, nakupongeza tena.

Hilo ni fundisho la maisha kwako na kwa wengine. Huo ujasiri wa kukutoa usiku saa tano na kukwambia ondoka na kukupangia nguo kabisa uondoke, na ukaondoka na hajabadili msimo wake, si tu kwamba hafai, bali pia hana utu. Mwanamke yeyote ambaye hata utu wa kawaida hana hafai kuishi naye ndani ya nyumba moja.

Umetumia busara sana kwa sababu sio kitu cha kawaida na sio wanaume wote wanaweza kuvumilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…