KAWAIDA...huna haja ya kuripiza kisasi kwa kumnunia... wanaume huwa hatununi, tatua tatizo na tambua mwanamke uliyenaye ni wa aina gani..practice make perfect. Mwanamke kama huyo ukiweza kumpa anachotaka mahala na wakati anaotaka, hawezi kuwa na kidumu na hatokuacha wala kukununia tena. Mwisho shukuru Mungu kwa kukuonesha ishara kuwa hapendezwi na baadhi unayofanya, kuliko ungempata 'pretender'.