Amenitosa ila kakataa kuchukua mali yake

teh teh....ataifata mwenyewe, halafu mtongoze tena..

ataiacha, akiifata mara ya tatu kitu na box
 
kijana umeanchiwa modem wewe wataka kuirusha ya nini? tumia kijana ndio amekupa kipozea roho hapo.
 
Hiyo kaiacha km chambo sasa akili kumkichwa na x-mass na mwaka mpya ndo hizooo zipo mbezi kwa msuguli zishaingia mjini muda wowote kuanzia sasa tunazipokea ubungo..
 
Ukiona hivyo hana shida nayo kwa sasa au anazo nyingine so kaamua akusaidie tu kiroho safi kwa hiyo usijidanganye kuwa naye anakupenda
 
Huyo anakutaka ila ni wale wenye mambo ya kizamani eti hataki kujirahisisha. mvutie muda then ataingia mkenge mwenyewe.
 
Aisee chalii, anatafuta sababu ya kurtudi tu. Anajua angeichukua ungekata tamaa then mchezo kwishnei! Anajaribu kuwa mgumu kidogo ili mapenzi yawe na nguvu, asionekane dem wa siku moja. Kaza butiiii!!
 
Hiyo kaiacha km chambo sasa akili kumkichwa na x-mass na mwaka mpya ndo hizooo zipo mbezi kwa msuguli zishaingia mjini muda wowote kuanzia sasa tunazipokea ubungo..

we kenge kweli wewe! yaani umenifanya ncheke mpaka basi. Sikukuu dar na mafuriko haya, sipati picha jinsi nlivochapa mguu toka tangi bovu had njia panda kawe sina hamu. kale kadaraja kaliponea chupu chupu tu kung'olewa
 
Ukiona hivyo hana shida nayo kwa sasa au anazo nyingine so kaamua akusaidie tu kiroho safi kwa hiyo usijidanganye kuwa naye anakupenda

kwa asili hakuna mwanamke anayejua kupenda, ila ili mwanamke akupende ni juhudi zako mwanaume kumfanya akupende...........ndo maana mwanamke anaweza akapishana na midume kibao asihangaike kabisa.......lakini kwa mwanaume weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, tema mate chini kabisaaaaa!

Kwa hiyo mzee we kazana kitu kitakuwa chako hicho cha kujimegea freely, utoke kazini, disko, dansi ni kumwambia tu.......sweetie hebu geukia huku basi!
 
Jamani alikupa kwa roho safi,na kama umeona anakufanyia snema ili arudi haya we kaa na mawazo hayo,kwani mkiwa marafiki wa kawaida sio tamu mpaka mvuane nguo ndio inanoga?
 
Hana jipya huyo anatafuta 2 sababuy kurudi hapo geto.
 
Umenikumbusha mbali.....lol... Kila la kheri katika your inevitable romp up!
 
kumbe ndivyo ilivyo wanawake hatujui kupenda mwe!
 
Kwahiyo unataka tukupe sound za kumpiga ama unataka tukusaidie kumshauri akukubalii maana sijaona sababu ya kuweka hapa jf wakati umesema kashakukataa
 
Kaa nayo, atakuja kuichukua huku ame-make up mind yake. Unampa rafiki yake ndiye aliyekupa? tumia bwana ndiyo mafao yako.
 
Demu anaingia geto anatoka salama na mara pili tena hivyo hivyo acha kuwa butu kijana atakuona boya mademu wengine bila kutumia nguvu kidogo hauli mzigo atakaporudi kuja kuchua mzigo wake usiniangushe kijana
 
Jamani alikupa kwa roho safi,na kama umeona anakufanyia snema ili arudi haya we kaa na mawazo hayo,kwani mkiwa marafiki wa kawaida sio tamu mpaka mvuane nguo ndio inanoga?
hiyo hakunaga ww ,mpaka kitu na box ndo inakuwa bambam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…