Ameolewa bado mtoto?

Ameolewa bado mtoto?

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
618
Reaction score
280
Naomba msaada wa kisheria kuhusu hili suala: binti kuolewa akiwa na umri kati ya miaka 14-15 na mwanamume mwenye umri sawa na baba yake kwa sheria za Tanzania zinasemaje?
 
The prblem of you gay you never be certain. what you have posted caries two separate entity and discussion and each caries separate legal implication. Try to be certain next time and tell us the certainity age of the married girl. I will be able to attempt your dispute after making it clear.
 
Naomba msaada wa kisheria kuhusu hili suala: binti kuolewa akiwa na umri kati ya miaka 14-15 na mwanamume mwenye umri sawa na baba yake kwa sheria za Tanzania zinasemaje?

Hapo suala si kuolewa na mtu ambaye ana umri kama baba yake...Suala hapo ni kuwa, huyo binti ni mtoto mdogo...hata kama angeolewa na shetani
 
Akiwa na miaka 15 anaweza kuolewa lakini kwa idhini ya wazazi wake Law of Marriage Act 1971.. ingawa akifikisha miaka 18 anaweza kubatilisha ndoa (voidable marriage) ila km ni chini ya 15 hiyo ni void yani isiyo halali na haikubaliki kisheria.
 
Back
Top Bottom