Amepokea mwanaume mwenzangu

Sasa mdogo wangu, wote tunajua kupenda na tunajaua mambo yalivyo magumu and how you feel when you are rejected, but if she decided to handle her phone to a Man, what kind of message do you get? wewe ulipokuwa nae kuna siku alikupa simu yake ukakijibu hicho kidume?

Simply, she has nothing to do with you na anafikiri hakuhitaji, watu kama hawa huishiwa kukwamba hapo mbele wala sio mbali na kukutafuta mrudiane, MSHUKURU MUNGU SANA UMEGUNDUA, na mteme, it will take sometimes but believe me, YOU CAN FORGET A WOMAN FOREVER, kwani yeye ni NANI? HA! tena you will get great one that her.



 
umeongea nae kakuambia nini? ndio maisha hayo lazima weye anakuchuma kitu/vitu.

usipofungua macho shauri yako.
 
Thanx guys nishafanya maamuz inabd niachane nae 2 ila she has 2 pay 4 it inabd nayeye nimuumize 2 no way out
 
Thanx brother 4 ur gr8 advice nitafanya bt nayeye lazima aumie kama mimi
 
cjaongea nae hata nikipga anapokea mwanaume

Labda kakamatwa na wewe ndio ulikuwa mwizi sasa.

Ila subiri umsikilize kwa maneno yake labda itakufanya uachie ngazi kabisa as inaelekea unampenda sana.
pia kama nilivyosema mwanzoni weye unamsaidiaga uko alipo? esp kifedha? maana hii inaweza kuwa ndio maana alitaka kusema muwe wote hadi sasa wakati alikuwa anajua ana mtu pia.

ila ni tabu sana kuwa mbali na mtu, maana unaweza kuta siku zote anapokea au kuongea nawe kwa kujificha na mwenzio ndo kamkamata sasa hivi. na wewe unavyozidi kupiga simu ndio unampa adhabu zaidi. acha kumpigia atakupigia akitaka.
Pole.
 
Mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi yanatesa sana. Mkuu huna chako hapo. Najua unapata maumivu sana ila ukweli unabaki yeye hakuitaji kwa sasa.

Wewe shughulika ma maisha mkuu,
 
Halafu haya maneno " wote tunapendana" au "nampenda na yeye ananipenda" then unalalamikia matatizo! Huwa nakuwa na shaka sana na uelewa wa huyo mtu! Sijui ni mimi peke yangu?
 
Kaka, kwanza huyo mwanamke hana mapenz ten juu yako ndio maan kaamua kudhirishia hilo kw kuumpa mume mwenzio apokee sim. Kaza moyo jitahid kumsahau
 
mndengereko unataka tukushauri nini? Jibu liko wazi kuwa mwenza wako si mkweli kwako, bado anacheat, unaweza mpigia ukapozwa kwa maneno matamu na kuamua kuendelea nae au ukaamua kumwaga, maumivu yapo ila in time yataisha

ilishawahi kunitokea scenerio kama hiyo....sikutaka kuuliza vumbi store kwani ningeishia kupiga chafya(kupewa majibu ya kukusoften)
 
Jamani,hutaki kuamini kilichotokea!?Alikuwa anakupenda?!r u sure kaka? Naona unajipa moyo wakati hali halisi waijua,na kwakuwa mko mbali mbali ndo yazidi kunogesha ucharuko wake huyo......! kimbia fasta
 
Thanx guys nishafanya maamuz inabd niachane nae 2 ila she has 2 pay 4 it inabd nayeye nimuumize 2 no way out

Mimi nakushauri upunguze hasira na uepuke kulipa kisasi ila achana nae kwa amani wala usifikirie tena kufungua ukurasa mpya. Kumbuka mpenzi asiyemwaminifu ni "kifo" aka "UKIMWI"
 
huna haja ya kuendelea kumpigia simu wala kumtafuta. kaa kimya tu na hesabu huna mtu, akikupigia pokea na msikiliza uweze kumfahamu akil yake zaid. huna haja ya kulipa au kulipiza kisara ni wangapi waliokukosea au kukuumiza na je umelipiza kisasi? hakuna kitu kibaya kama majuto. kama kakutenda atakuja kukumbuka kwa majuto. pia jipange upya na jiangalie mapungufu yako
 
ndy hasara ya mapenzi ya wireless, ukisogea tu network inakata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…