Unajua katika mapenzi kuna watu ambao hawawezi kuheshimu hisia za wenzao na badala yake wanacheza nazo! kweli mtu anakupenda mapenzi ya kweli lakini wewe unamcheat na kufikia hatua ya kumpa mwanaume mwingine apokee simu??Kaka wala usilipe kisasi, kisasi muachie Mungu kwani yeye anajua ni kwa jinsi gani unampenda lakini ameamua kukutenda na kucheza na ile thamani ya upendo uliompatia.......
Cha kufanya: muache tu endelea na time zako, huyo amekuchoka kwani kama angekupenda wala asingempa mwanaume mwingine apokee simu yako, Mungu atakupatia mwanamke ambaye atakupenda kwa dhati na kuuthamini upendo wako kwake