Ameponea kwa mganga wa kienyeji

Ameponea kwa mganga wa kienyeji

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
2,360
Reaction score
2,269
Salama wakuu? Nina rafiki yangu amenipa tafakuri mno usiku huu.alikuwa anaumwa, amezunguka kwa mitume na manabii ila hakupona
....
Ajabu ameponea Tanga, tena kwa mganga wa kienyeji. Hii imekaaje?

Kwanini wengi waliopinga yeye kwenda upande wa pili wenyewe huenda kwa waganga pia?

Kwa nn hasa binadamu wamekuwa wanafiki? Kosa kujiongeza leo hii angekua ameshakufa na marsdhi yake tayari.

Nimejifunza usitukane wakunga na uzazi ungalipo.

Ni mbaya sana, kuna watu mnawakejrli sana wanaotafuta tiba zao kwa waganga, ole wenu

Jilipue nenda popote mradi utatuliwe shida yko pasipo kumuumiza mwingine..

Karibu kila anayjifanya kuchukia mitishamba na waganga, ndiyo mchawi mwenyewe
 
Ninaemkubali ni Mwamposa anatapeli watu huku wanasema Ameen
 
asante
 
Back
Top Bottom