America Anaomba Gulf Countries Wajiunge Kumshambulia Yemen

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
7,681
Reaction score
9,892
Kama Yeye ni Super Power kwani asiende peke yake, au amwambie shoga yake Israel apigane na Yemen si kila kukicha Yemen anampiga Israel na kuteka Meli zake, kwanini anafata Gulf Country, Kwa nini?

Tukiwambia Israel hana lolote anakuzwa na Viongozi wa kiarabu na US kwa faida zao tu.

Yemen ni moto wa mbali
 
Nimejaribu kuangalia hapa roman ya Israel maana yemen wakibana sawa sawa hapo masharik ya kati lazima kieleweke tu hasa kwenye swala la navigation

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kama Yeye ni Super Power kwani asiende peke yake, au amwambie shoga yake Israel apigane na Yemen si kila kukicha Yemen anampiga Israel na kuteka Meli zake, kwanini anafata Gulf Country, Kwa nini?

Tukiwambia Israel hana lolote anakuzwa na Viongozi wa kiarabu na US kwa faida zao tu.

Yemen ni moto wa mbali
Wakifanya hivyo watakuwa watu wa ajabu sana

Back
Top Bottom