Fafanua dai lako kwa hoja kuntu.Maskini wa marekani ana maisha magumu kuliko hata maskini wa hapa bongo.
Masikini ni masikini tu ...Mpaka u some utaelewa usiangalie thamani ya pesa ,kupata pesa ulaya sio rahisi kama unavyofikria .Maskini wa marekani ana maisha magumu kuliko hata maskini wa hapa bongo.
Haitokaa itokee america awe third world. Unachokiona hapo ni price to pay, uchumi wa nchi unapokuwa mkubwa kuliko, wapo ambao hawataweza ku afford. Ndio hao sasaSometimes ago,I said America will become a third world country in no time.I was mocked and given names.For many of us who have never been to the US,we tend to believe that everything iin America is rosy,not at all.America is disintegrating so fast beyond imagination.The change is so drastic especially in the past two years.Follow the following link to see the situation for yourself.
View: https://youtu.be/yRWmKh13b50?si=N5rzO__1xP8iWXtq
Nachomaanisha ni kuwa ukiwa maskini bongo, unaweza kwenda hata kwa shemeji ukagongea msosi siku ikawa imepita.Masikini ni masikini tu ...Mpaka u some utaelewa usiangalie thamani ya pesa ,kupata pesa ulaya sio rahisi kama unavyofikria .
Pia angalia na gharama za maisha
Ukiona bongo Kuna homeless ujue kakimbia kwao au matatizo ya kifamilia ; kama watoto wa mitaani ,mayatima.Nachomaanisha ni kuwa ukiwa maskini bongo, unaweza kwenda hata kwa shemeji ukagongea msosi siku ikawa imepita.
Detective unajidanganya.Kilichopangwa na the NWO ndicho hicho America to become a third world country kwa vigezo vyote kama unavijua.Halafu nchi zole zinazojiita zimeendelea haziko hivyo.Kwa mfano Sweden,Denmark,Norway,Iceland,Germany,Italy Luxembourg nk.haziko hivyo.You are burying your head in the sand.Mimi ninacho put across nina uhakika nacho.Remember that many empires have come and gone,tena by design,tena bigger empires than the American Empire.Roman Empire ipo wapi leo?Haitokaa itokee america awe third world. Unachokiona hapo ni price to pay, uchumi wa nchi unapokuwa mkubwa kuliko, wapo ambao hawataweza ku afford. Ndio hao sasa
Lakini tatizo ya nchi zenye uchumi mkubwa, unabebwa na capitalist wachache while wengi wakipulia mashine.
Nenda nchi yoyotr iliyodevelop sana ina hao watu
Na hali itakuwa mbaya zaidi kodi za pango zitakavyozidi kupanda.Ulaya na Marekani will be the shame of the World.Ukiona bongo Kuna homeless ujue kakimbia kwao au matatizo ya kifamilia ; kama watoto wa mitaani ,mayatima.
Ila ulaya ukifulia hupati msaada wa kishkaji ,Kodi ikiisha unatimuliwa kweny nyumba ya watu.
Mkuu hao ndiyo wale wazamiaji wanaorudishwa makwao.Na hali itakuwa mbaya zaidi kodi za pango zitakavyozidi kupanda.Ulaya na Marekani will be the shame of the World.
Hata Manzese unachokiona kwenye hiyo clip hakipo.Ni waxl kwa hiyo kuwa yanayokuja ni mabaya zaidi.,isn't that simple common sense?Kuwa Dunia ya tatu ni uongo ni sawa sawa na kuamisha bahari kutoka Dar es Salaam kuipeleka kule Kwa wavuta bangi na Wala mirungi jiji la washamba Arusha