America na magari aina ya ford

America na magari aina ya ford

Habari,naomba kuuliza kwa wajuzi wa magari.Hii gari aina ya Ford ni inasifa gani zaidi za ziada kiasi cha kuwa common sana katika matumizi ndani ya bara la America hususan U.S.A,maana nimekuwa nikiona hadi vyombo vya ulinzi kama F.B.I nchini humo viktumia gari za Ford kwa shughuli zake,ni nini haswa sifa za ziada kwa Gari hizi?
Mkuu wanaezi vya kwao baada ya Henry Ford muasisi wa hii kampuni kueta mapinduzi makubwa sana kwenye ulimwengu wa magari.

Zamani magari yote yalikuwa yana capacity ndogo sana hususani kwenye mifumo ya injini na piston zake na kitu inaitwa rear axle.

Ford kwa ubishi wake wa ki-genius japo alikuwa na elimu ndogo sana tena ya kuunga unga alibishana na mainjinia wake wa wakati huo akiwataka wahakikishe wanatengeneza injini yenye uwezo wa kubeba piston 8 kwa mpigo na kutaka pia rear axle anayoitaka yeye ndio itumike sio ya mainjinia wanayosema, maana walifika wakati wakakata tamaa kabisa kuwa haiwezekani.

Kifupi ile rear axle ilikuwa haiwezekani kabisa lakini alikomaa nao mpaka wakapata njia ya kuifanya iwezekane, tokea hapo ndio tukapata design mpya ya magari yenye nguvu kubwa sana na yanayokwenda umbali mrefu mno.

Zamani magari yalikuwa na nguvu ndogo kama zilivyo bajaji za leo, na ni Ford kwa ubishi wake ndiye aliyeleta design hii mpya ambayo imeyafanya magari kutoka kwenye ubajai bajaji wake mpaka tumepata ma semi trela yanayobeba tani 50 kwa mpigo na kuvuka nchi moja kwenda nyingine bila shida, tumepata mabasi ya kutoka Mwanza mpaka Dar yakikimbia kwa spidi ambayo hata farasi hawezi kufikia.

Kwa kulitambu hili wamarekani wameenzi chao na kukitukuza ndio maana unaona Ford ni magari pendwa sana Marekani.

Tuliwahi kuwa na design yetu na sisi ya magari ya nyumbu ambayo Nyerere alii-mastermind kwa ajili ya mambo ya kijeshi lakini Mzee alipokufa tumekumbatia ma-Iveco na mengineyo unayokutana nayo street daily.
 
Anha hapa nimeelewa shukrani mkuu:
 
Kwa uelewa wangu FBI wanatumia sana GMC na sio Ford
Isije ukawa umechanganya mkuu ......Ford zipo hata uku zimejaa kibao tena zinanunuliwa zikiwa brand new with 0 kilometers
 
Habari,naomba kuuliza kwa wajuzi wa magari.Hii gari aina ya Ford ni inasifa gani zaidi za ziada kiasi cha kuwa common sana katika matumizi ndani ya bara la America hususan U.S.A,maana nimekuwa nikiona hadi vyombo vya ulinzi kama F.B.I nchini humo viktumia gari za Ford kwa shughuli zake,ni nini haswa sifa za ziada kwa Gari hizi?
Kiukweli kaka, nilidhani we ni fundi wa kuposti...sasa ndo nini hii umepost? sidhani kama ulifikiria au ulifany utafiti kabla ya kuuliza hili swali...kitu kingine jitahidi uweke picha
 
Mkuu wanaezi vya kwao baada ya Henry Ford muasisi wa hii kampuni kueta mapinduzi makubwa sana kwenye ulimwengu wa magari.

Zamani magari yote yalikuwa yana capacity ndogo sana hususani kwenye mifumo ya injini na piston zake na kitu inaitwa rear axle.

Ford kwa ubishi wake wa ki-genius japo alikuwa na elimu ndogo sana tena ya kuunga unga alibishana na mainjinia wake wa wakati huo akiwataka wahakikishe wanatengeneza injini yenye uwezo wa kubeba piston 8 kwa mpigo na kutaka pia rear axle anayoitaka yeye ndio itumike sio ya mainjinia wanayosema, maana walifika wakati wakakata tamaa kabisa kuwa haiwezekani.

Kifupi ile rear axle ilikuwa haiwezekani kabisa lakini alikomaa nao mpaka wakapata njia ya kuifanya iwezekane, tokea hapo ndio tukapata design mpya ya magari yenye nguvu kubwa sana na yanayokwenda umbali mrefu mno.

Zamani magari yalikuwa na nguvu ndogo kama zilivyo bajaji za leo, na ni Ford kwa ubishi wake ndiye aliyeleta design hii mpya ambayo imeyafanya magari kutoka kwenye ubajai bajaji wake mpaka tumepata ma semi trela yanayobeba tani 50 kwa mpigo na kuvuka nchi moja kwenda nyingine bila shida, tumepata mabasi ya kutoka Mwanza mpaka Dar yakikimbia kwa spidi ambayo hata farasi hawezi kufikia.

Kwa kulitambu hili wamarekani wameenzi chao na kukitukuza ndio maana unaona Ford ni magari pendwa sana Marekani.

Tuliwahi kuwa na design yetu na sisi ya magari ya nyumbu ambayo Nyerere alii-mastermind kwa ajili ya mambo ya kijeshi lakini Mzee alipokufa tumekumbatia ma-Iveco na mengineyo unayokutana nayo street daily.
Eehhh boss, wastahili trophy ya fiction writer. Yote ulioandika hapo umetunga wewe. Rais Ford hakua na uhusiano wowote na Henry Ford mwanzilishi wa Ford Motor Company. Peruzi wikipedia tu utagundua mengi!
 
Mbona sijaona alipomzungumzia Rais Gerlad Ford?!
 
Eehhh boss, wastahili trophy ya fiction writer. Yote ulioandika hapo umetunga wewe. Rais Ford hakua na uhusiano wowote na Henry Ford mwanzilishi wa Ford Motor Company. Peruzi wikipedia tu utagundua mengi!
Kuna sehemj yoyote huyo mshkaji ameandika habari za raisi?Tuonyeshe tafadhali.

Au Ukisikia tu wamarekani WANAMUENZI FORD unajua tu kuenziwa mpk mtu awe RAISI?
 
Eehhh boss, wastahili trophy ya fiction writer. Yote ulioandika hapo umetunga wewe. Rais Ford hakua na uhusiano wowote na Henry Ford mwanzilishi wa Ford Motor Company. Peruzi wikipedia tu utagundua mengi!
Samahani sana kw kuchanganyikiwa kw maneno. Kumhusu Gerald Ford hajaandika lolote ila ilo halibadili lolote kuhusu alioandika.
Magari ya kale yalikua na engine za ukubwa wa kushangaza! Ilikua kawaida kw miundo flani kua na piston hadi kumi na sita.
 
Back
Top Bottom