America Plays Big Brother to Kenya.

The Obama administration could have taken this step to Tanzanian officials who are involved in stealing government money. But i hope may be second will be Tanzania.
 
The Obama administration could have taken this step to Tanzanian officials who are involved in stealing government money. But i hope may be second will be Tanzania.

Ya ryt mkuu
 
Hiyo barua ya Kibaki wala hajaandika yeye, walioaiandika wanafahamika..si ajabu hajui hata content yake ni nini...
 
Kuna mada ililetwa kuisifia Rwanda kwamba inaendelea, nilisema jamani pale Rwanda ni nguvu ya marekani na ni marekani hawa hawa waliisaidia RPF kuchukua nchi na kumuua rais habyarimana lakini leo hii kagame anaonekana eti ni rais bora east and central africa.

Ukweli uko wazi kwamba kagame aliamuru ndege iliyo wabeba marais habyarimana na yule wa burundi itunguliwe na RPF rebels na US walijua hilo. Yote haya ni kuhakikisha wanaondoa koloni za kifaransa na kusimika tawala zinafuata mlengo wa kiingereza (US & UK).

Kwa hiyo nakubaliana na hoja zilizo tolewa kwamba US ndo baba wa dunia na akiamua kitu hakuna wa kupinga. AU wenyewe wanategemea misaada kutoka US, issue ya gen. Nkunda ni ngumu kwa sababu alikuwa analinda uchimbaji wa dhahabu iliyokuwa inasafirishwa kwenda US kwa hiyo huenda hata asifungwe miaka mingi.
 
The Obama administration could have taken this step to Tanzanian officials who are involved in stealing government money. But i hope may be second will be Tanzania.

Akija Tz aanze na Mkuu wa Kaya, wengine wajifunze kuanzia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…