Room 28 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 1,077 Reaction score 1,736 Jul 5, 2026 #1 leo Marekani wametimiza miaka 250 ya uhuru na kuanzishwa kwa taifa hilo. Ikumbukwe Taifa hilo limeundwa na majimbo (State) Miaka 250 na hamna chokochoko za muungano! Kwann Tanzania Miaka 60 tu shida za muungano zimekua nyingi? Nini Marekani wamefanya ambacho Tanzania Hatufanyi Attachments IMG_1086.jpeg 114.7 KB · Views: 10
leo Marekani wametimiza miaka 250 ya uhuru na kuanzishwa kwa taifa hilo. Ikumbukwe Taifa hilo limeundwa na majimbo (State) Miaka 250 na hamna chokochoko za muungano! Kwann Tanzania Miaka 60 tu shida za muungano zimekua nyingi? Nini Marekani wamefanya ambacho Tanzania Hatufanyi
Room 28 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 1,077 Reaction score 1,736 Jul 5, 2026 Thread starter #2 Marekani ilianzia kwene hizi state Attachments IMG_1087.jpeg 239.5 KB · Views: 13
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Jul 5, 2026 #3 Yn serious unaufananinisha Muungano wa USA na muungano wa Tanzania? Anyway, USA walishawahi kupigana wenyewe kwa wenyewe kuhusu huo huo Muungano, so usiseme hapakuwahi kuwa na chokochoko
Yn serious unaufananinisha Muungano wa USA na muungano wa Tanzania? Anyway, USA walishawahi kupigana wenyewe kwa wenyewe kuhusu huo huo Muungano, so usiseme hapakuwahi kuwa na chokochoko
Room 28 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 1,077 Reaction score 1,736 Jul 5, 2026 Thread starter #4 Mbaga Jr said: Yn serious unaufananinisha Muungano wa USA na muungano wa Tanzania? Anyway, USA walishawahi kupigana wenyewe kwa wenyewe kuhusu huo huo Muungano, so usiseme hapakuwahi kuwa na chokochoko Click to expand... Ikawaje
Mbaga Jr said: Yn serious unaufananinisha Muungano wa USA na muungano wa Tanzania? Anyway, USA walishawahi kupigana wenyewe kwa wenyewe kuhusu huo huo Muungano, so usiseme hapakuwahi kuwa na chokochoko Click to expand... Ikawaje
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Jul 5, 2026 #5 Room 28 said: Ikawaje Click to expand... Ikawa hivyo hivyo
Kubwjing JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 3,289 Reaction score 5,964 Jul 5, 2026 #6 Acha kufananishia kitambi na mimba
Room 28 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 1,077 Reaction score 1,736 Jul 6, 2026 Thread starter #7 Kubwjing said: Acha kufananishia kitambi na mimba Click to expand... Ni kweli ,tunachoongelea hapa ni tabia za watu
Kubwjing said: Acha kufananishia kitambi na mimba Click to expand... Ni kweli ,tunachoongelea hapa ni tabia za watu
Room 28 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 1,077 Reaction score 1,736 Jul 6, 2026 Thread starter #8 Mbaga Jr said: Ikawa hivyo hivyo Click to expand... Kumbuk wale walipigana kisa biashara ya utumwa
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Jul 6, 2026 #9 Room 28 said: Kumbuk wale walipigana kisa biashara ya utumwa Click to expand... Ila ishu ilikuwa n Muungano ambapo ilionekana Kusini wanafaidi Sana, n kama tuu ilivyo huku Tz sasa tunaona Zanzibar anapendelewa
Room 28 said: Kumbuk wale walipigana kisa biashara ya utumwa Click to expand... Ila ishu ilikuwa n Muungano ambapo ilionekana Kusini wanafaidi Sana, n kama tuu ilivyo huku Tz sasa tunaona Zanzibar anapendelewa
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,593 Reaction score 46,759 Jul 6, 2026 #10 Jamaa mpaka wamekua na hilo taifa washafanya unyangisi wote unaoujua na usioujua