...sio tu imeonyesha ufa na mapungufu mengi, pia imeonyesha ni jinsi gani machungu waliopata kwa kula vidonge vyao wenyewe.
Vidonge: Utumiaji wa social media kujaribu kutingisha,kubadilisha nchi zingine....Tunisia. Egypt?
Uwepo wa uongo mpaka kutoka kwa mdomo wa mkulu kuachiwa kusambazwa kwa jina la uhuru wa habari....uongo kama huo hapa kwetu unasambazwa na Mataga, na yule kibaraka ...wanajiita wazalendo(wamo mitandaoni)
...
mfano mwingine ni pale polisi walivyolazimishwa kuwepo bila silaha moto.
Uwezekano kuwa maofisa wa juu waliambiwa "stand down" upo! Au waliogopa kuwa wafuasi ni wa mkulu basi fungua geti!
Je tunaweza kufananisha na yaliyotokea Gambia? Au yanayoweza kutokea Uganda?
There is repurcussion to come, The Presidents "words matter....at best unite...at worst Insight"
In our own backyard there is one who has said he will protect his followers, u get the clue.
Yaliyotokea ni Mazito